Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

Bahati nzuri sijawahi kuwa falla hii ni jf soma pita tu mkuu.

Eneo peke la kufanyia ujinga usioweza kuufanya hadharani ni chichat usisahau pia
Keep ya Head Up sir✌️
 
Mungu alimuumba Adam kwa mfano wake, baadaye Mungu ndio akamuumba Eva kutoka ubavuni mwa Adam.

Ukitaka world population IPO viganjani mwako unatumia internet kwa faida gani kama vitu vidogo kama hivi huvijui?

Hata sensa ya Tanzania ina prove hili Tanganyika na Zanzibar kote idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume.

Halafu nachukizwa sana ninapoona mtu anashindwa kutumia akili wakati Mungu alikupa ubongo wa kazi gani?
Wangine ni natural morons japokua shule walienda
 
Hao wanawake wengi unao wasema
Wengi ni wajane!
Wengi ni single mother
Wengi ni wabibi
Wengi ni wanafunzi

Sasa mkuu unasemaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wanaume pamoja na uchache wao lakini wengi Ni mateja, wafungwa, wababu, ndugu nk
 
Tulia mkuu, takwimu zinaonyesha wanaume ndio wanakufa mapema zaidi kuliko ke. Hivyo bado Reserve bank ya wanawake bado ina stock ya kutosha tu.
Katika hao wanaume Bill3 kuna
  • Mahanithi
  • Wazee
  • Wafungwa
  • Mashoga
  • Watoto
  • Machizi.
Yaani always ratio ya wanawake ni kubwa kuliko me
Ujengewe sanamu uwanja wa mkapa
 
Back
Top Bottom