Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mwenye mwili nenda kaichomeke mwilini mwakoWe ni ubavu tu wa mmeo Soma mwanzo. Kwenye bible
Wangine ni natural morons japokua shule waliendaMungu alimuumba Adam kwa mfano wake, baadaye Mungu ndio akamuumba Eva kutoka ubavuni mwa Adam.
Ukitaka world population IPO viganjani mwako unatumia internet kwa faida gani kama vitu vidogo kama hivi huvijui?
Hata sensa ya Tanzania ina prove hili Tanganyika na Zanzibar kote idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume.
Halafu nachukizwa sana ninapoona mtu anashindwa kutumia akili wakati Mungu alikupa ubongo wa kazi gani?
Hata wanaume pamoja na uchache wao lakini wengi Ni mateja, wafungwa, wababu, ndugu nkHao wanawake wengi unao wasema
Wengi ni wajane!
Wengi ni single mother
Wengi ni wabibi
Wengi ni wanafunzi
Sasa mkuu unasemaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani,jamani....usiseme ivo.Mi ni mdada mwema tuKumalizana wapi?
Si nitapigwa na stroke bado kijana ajili yake
Uwez Ila Cha moto utakionaKumalizana wapi?
Si nitapigwa na stroke bado kijana ajili yake
😂TobaaaYaarabi😅
Ujengewe sanamu uwanja wa mkapaTulia mkuu, takwimu zinaonyesha wanaume ndio wanakufa mapema zaidi kuliko ke. Hivyo bado Reserve bank ya wanawake bado ina stock ya kutosha tu.
Katika hao wanaume Bill3 kuna
Yaani always ratio ya wanawake ni kubwa kuliko me
- Mahanithi
- Wazee
- Wafungwa
- Mashoga
- Watoto
- Machizi.
😂😂😂😂nitake radhi plzzJambazi mkuu la kike wewe
Eeh huko kunakufaa kijana mana nguvu bado unazoNdio unanisukumizia huko huko
😂😂😂Round 7 kama huwezi toboa baki tu singleHapana huyo kashakua sugu😅🏃
Mi mwenyewSijasoma ujumbe,nimesoma kichwa cha habari,nikagonga dole gumba, hili ndio jambo nawaambia watu kila mara.