Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

bora ukapoteza pesa kwenye mambo mengine lakini usije kupoteza akili yako kwa mwanamke anaweza kukupoteza vyote.
wanawake sio wakuhurumia kasoro mama yako.
 
Ndugu kumbuka mapenzi hayana formla labda ukiwa na hera za kukutosha sawa ila kwa sisi makabwela kuteswa ma mapenzi ni kawaida jmn tutafute hera
Wanaume tulipoanza kuamini mapenzi ni pesa ndipo kila kitu kiliharibika
 
Kama hivyo vitabu vya Ki-imani vingeandikwa na Mwanamke..., Amini nakwambia maandiko yangekuwa tofauti....

Ila ndio hivyo wanadamu ndio hivyo tena anything to justify their exploitation...
 
Mianaume mingi ya ckuiz Ni miboya Sana.Unakuta libaba lizima linalelewa na mke wake afu halioni Soo.
 
Ni kweli tumekuwa maboya sana , na nature haikuumbwa Mwanaume kutumia moyo na emotional bali akili na maarifa- Sasa hivi sasa imekuwa kinyume chake. Tuweke mguu chini sasa , better late than never.
 
Nakupenda ulivyonyooka kama rula.
Wanawake wote wangekua wakweli kama wewe.....
Sir, expectations is the root of all disappointment. Huku ni mitandaoni usisahua... Anonymous Forum
 
Sir, expectations is the root of all disappointment. Huku ni mitandaoni usisahua... Anonymous Forum
Bahati nzuri sijawahi kuwa falla hii ni jf soma pita tu mkuu.

Eneo peke la kufanyia ujinga usioweza kuufanya hadharani ni chichat usisahau pia
 
Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na bible pia science/psychology inakubaliana na hilo, mwanaume anajiona mkamilifu zaidi pale anapoweza kumtawala (sio kimabavu), kumuongoza na kumuhudumia mwanamke na mwanamke anajisikia amani na usalama zaidi anapopata mwanaume anayeweza kusimamia misingi ya uanaume wake yaani kutawala, kuongoza na kuhudumia .
The Alpha Male concept.

Kwisho wa kunukuu.
 
Thibitisha kuwa Mungu ameumba wanawake wengi kuliko wanaume.

Kwa takwimu.
Mungu alimuumba Adam kwa mfano wake, baadaye Mungu ndio akamuumba Eva kutoka ubavuni mwa Adam.

Ukitaka world population IPO viganjani mwako unatumia internet kwa faida gani kama vitu vidogo kama hivi huvijui?

Hata sensa ya Tanzania ina prove hili Tanganyika na Zanzibar kote idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume.

Halafu nachukizwa sana ninapoona mtu anashindwa kutumia akili wakati Mungu alikupa ubongo wa kazi gani?
 
Back
Top Bottom