Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

Umeongea mambo ya msingi boss Kuna watu tumeamua kuacha familia kwa sababu ya mwanamke kufanikiwa kuwa na kipato kikubwa na kujitanua kwapa
Japo wanawake wengi wasio kua na heshima katika ndoa zao akiisha achika akaolewa tena familia mpya wanazo jenga hata paka kamwe hakanyagi
 
Na hao wanaolia hapo bongoland nao nao wameteleza tuu
Kama wewe ulivoteleza kipind fulan kwa yule mwanamke sasa hivi umekomaaa

Kila kitu na wakati wake

Kaa kwa kutulia
Mkuu umejuaje kama niliteleza😅
Au ramli tu
 
Mentality ya wanawake wengi wanaamini kua kinachofanya mwanamke kua chini ya mume ni ukosefu wa kipato, hivyo wakiwa na kipato wanawaza kua juu ya Mwanaume kumbe sio hivyo it's just a nature.
Ndio maana dini ya kiislam hairuhusu sana mwanamke kwenda kutafuta pesa
 
Dunia ilipofikia ndio inabadilisha wanaume kuwa viumbe vya ajabu bila wanaume husika kuzania kua wamebadilishwa.
1) hofu ya kupoteza fursa
Wanawake siku hizi ndio wana deal Nene Nene utake usitake wana deals Nene
2. Kupenda slope
Wanaume sikuhizi wamekua ni ma escorter wa wanawake kwasababu wana susiwa pesa na vitu vitu kujikimu
Nk
 
Sio kweli kuwa wanaume wote wanapenda kuongoza,acha kuwa na msimamo potofu,, Kuna wanaume wanapenda wanawake watakao wa challenge na wengine wanapenda kuwa submissive kwa wake zao,...tembea uone
Wanaume wote wanapenda kuongoza!
Utofauti Ni kwamba wengine wanapenda kujadiliana maamuzi na mke, na wengine hawapendi mjadala
 

Kukuelewa hapa lazima mtu awe mkomavu kiakili! Otherwise watu wa haki sawa watakupinga
 
Uzi kama huu ningekuwa na uwezo ningeuchapisha alafu nabandika kila nguzo mtaa kwa mtaa , nyumba kwa nyumba ili wale wanaume wenzetu wenye pigo za tamthiliya angalau wapate maarifa

Jamaa nimemkubali kwa nondo hii!
 
Mimi ilo Na lijua ila bado Na teswa tu Sasa sijui kama nime rogwa au

Mimi ndo wakuteswa Na kiumbe kinachoitwa mwanamke Mimi
Ukiona hivyo ujuwe hilo siyo fungu lako,labda umelikwapua kwa Mtu mwingine,fungu lako Mwanaume ukikohaa tu hata kwa bahati mbaya lazima moyo wake ustuke kidogo hata Kama yuko usingizini!!
 
Nani kakudanganya wanawake wana deals nene nene? Hujui unachoongea.
 
Thibitisha kuwa Mungu ameumba wanawake wengi kuliko wanaume.

Kwa takwimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…