Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

Hakuna mjanja wa wajanja,

Kila mtu na mjanja wake..

Huyo anayekuliza wewe na yeye anamlilia mwingine..

Na huyo unayemlilia wewe mwingine anamuona dada wa kazi.

That's human nature.
Kwa ukiburi na ujeuri wangu nikilia ajili ya mwanamke dunia itatikisika. I say this coz I don't care a thing. Choose me or leave me I don't care.
Kupendwa na kutokupemdwa kwangu is equal to 0
 
Hapa ndo wanawake hushangaza sana 🙄 Kwamba akijua umeweka kambi kwake pekee, anakuona pimbi.
Wanapenda kila mwanaume awe polygamous!
Wanawake ni viumbe wa ajabu kweli. Yaani ile kiteseka na kuumia juu yake unakosa raha na kumsumbua sumbua juu ya unavyojiskia basi anaona raha kweli. Na anakua anakufanyia ujeuri kabisa! Usimruhusu mwanamke wako akajua yeye ndio kila kitu kwako utajuta.

Ila kama ukiwa hujali lolote basi ndio atakuona wa maana ndio maana kuna uzi niliandika unasema " Mwanamke akikosa attention anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunafanya apatikane kirahisi"
 
Kenge mwezangu nimekuelewa na cha kujazia nyie makenge wazangu mnatakiwa muwe na vijumba vidogo maana bila ya kufanya hivyo mtakufa mapema,kenge nyie
 
15 years hujanwaga shawaha au asee Kama ni kweli ni pm unishauri asee duuh mi namwaga daily mkuu sijui ni umri au ni nn maana hivi vikijoleo bana
 
Walao nimepata mawili matatu, maana kama kuteseka kisaikolojia na hawa wenzetu naweza kua miongoni mwa wengi, nashukuru uzi huu kidogo umenipa tumaini 2023 nitakua na fikra nyingine dhidi ya wanawake.

Asante sana mleta mada
Tatizo ulioa muiraq
Komaa nae tuu weupe ulikuchanganya
Ulioa sura mzee baba pole
 
Hapana. Ukimpenda mwanamke ingia miguu yote miwili ili uenjoy ladha halisi ya mapenzi kama akizingua kwa kuudharau Upendo wako kwake toka miguu yote miwili chap kwa haraka kama ulivyoingia.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Ambacho akijitambui ni hiki kichwa chetu chenye kipara kisichoota nywele tunachokificha ila hiki chenye nywele kinajitambua
 
By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me.
Vipi Rombo na nchi jirani wanakotandikwa bakora na wake zao
 
Sure, hata kama ingekuwa ni wewe kwa ile rangi usingepindua!
Ila nyuma ya rangi bwana!!
Pole mkuu
Ila sema ukweli kaka hujawahi kusikia habari za hilo kabila kabla hujaoa?

Au ulijizima data kuwa ipo siku atabadilika??
 
unajishaua tu
 
Bando la kuangalizia x
 
Kuteseka na mapenzi kwa wanaume ukweli tatizo ni Hela, Mwanaume unapaswa kuangalia kipato chako na aina ya mwanamke unaye muhitaji SI una Kaa IST chako unaanza kushindania pisi Kali mjini utakufa na stress.
Wanawake wa Sasa wanaongozwa na tamaa kuliko mapenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…