Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #121
Kwa ukiburi na ujeuri wangu nikilia ajili ya mwanamke dunia itatikisika. I say this coz I don't care a thing. Choose me or leave me I don't care.Hakuna mjanja wa wajanja,
Kila mtu na mjanja wake..
Huyo anayekuliza wewe na yeye anamlilia mwingine..
Na huyo unayemlilia wewe mwingine anamuona dada wa kazi.
That's human nature.
Kupendwa na kutokupemdwa kwangu is equal to 0