Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Makete was necessary ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa Tanga si ndio kwenyewe huko wanapetipeti..!!
Kwani nyie hiyo sekta si zero tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ukikutana na mtaalam wa mambo usiwe mzembe.....
 
Sasa yeye mwanamke aongelee yanayowafaidisha kwani yeye mwanaume? Nawe si uongelee yanayowafaidisha!!
 
kumpenda nitampenda na kumheshimu...akitaka kudekezwa arudi kwa baba yake
 
Uwekezaji usiokuwa na tija na wenye matokeo hasi kwenye ndoa ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ