Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Kero zinatokana na mtu kuwa kamanda wa kijeshi ndani ya Nyumba watu wanachoka πŸ˜‚
 
Kero zinatokana na mtu kuwa kamanda wa kijeshi ndani ya Nyumba watu wanachoka πŸ˜‚
TRA nao wanachangia kodi kubwa za magari watu wanaona kama wamenunua moyo gari aiguswi na kiumbe yeyote utasikia gari ya Baba hiyo..mtoto akiichuna rangi anaweza kumkata shingo bongo sihami aisee..
 
Unabaki kuwa mjeshi 😜
realMamy kuna wanawake vichaa au utadhani wana bipolar. Hata ukimdekeza ndiyo kwanza anakuona mjinga. Najua kuna wengi sana wanashukuru ila wamepata bahati mbaya ya kukutana wanaume wabaya, lakini kuna wengine kuishi naye hata kwa siku moja ni shida.
 
Huyo anakuwa na matatizo yake ya kuzaliwa πŸ˜‚
Kaishazoea Kupelekwa kijeshi kijeshi.
Ila mimi ninavopenda kudeka.
Hapo ndo nitapashikilia πŸ˜…
 
Wanaume ambao hamjaoa nawaibia Siri kwenye ndoa wewe utakua ni wakuhakikisha mwanamke na watoto wanaishi vizuri mpaka utakapokufa na ukishakufa uwaachie Mali yote uliyochuma wajinafasi na kama utaendelea kuwa hai basi utaishi maisha ya mfadhaiko mpaka ufe. Akili kichwani kwako
 
Sio kweli bhana mnatisha watu wakati wapo watu wana enjoy kwenye ndoa balaa..
 
Sikulazimishi uamini maneno yangu.ila hifadhi hii message yangu
 
Majukumu ya Mwanaume ni yapi jamani?
Si ndo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…