Changamoto kwa wanawake wa sasa unaweza kuoneka dhaifuπππHakuna anaefanya Jema akalipwa baya π
Ukifanya mazuri unalipwa mazuri.
We mdekeze tu utaniambia π
I've missed you mjukuu!Hongera kwa wanaume wadekezaji
Ile darling umepata luch nayo ina raha yake π ila sasa ........ kasheshe π
ππjwtzBaadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani
Dekezo + pesa ππLeo umesahau PESA mbona babes πΉπΉ
Em edit weka pesa bhana sijakuzoea hivi mimi ujue..!!
Hata mimi mbona sijui hizo kazi, kuna wazee wa kazi halafu kuna kina sieπ πrealMamy maji ya shingo mzee. Anapenda wazee kama nyie ndo mnajua kudekezaππ
Aibooo! πΉDekezo + pesa ππ
Kivumishi kishirikishi dearππAibooo! πΉ
Kumbe kivumishi cha kudekeza ndio pesa?