Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Mungu tupe uvumilivu
 
Umenielewa tofauti jamani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ukimdekeza nawe utadekezwa 😜
VInginevyo itolewe na mazingira ya nyumbani ya mtoa mada zinazohusiana na mambo haya iliwalio mashimani watupe ukweli halisi kwani haya yatalisaidia taifa na watu wake.Ikiwa jamii fulani ni korofi jawapo iendane na jamii inayoendana ili mambo yasiwe mengi kiasi cha kusambaratisha familia.
 
Kweli kabisa mambo yasiwe mengi sana πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…