Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia.

Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe.

Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni.

Na wewe ndo utakae mfanya akuone " Mzungu"muelewa.

Na akikuona "Mzungu" (muelewa) then you are fvckd up.

Ukiona mwanamke anawaambia watu kwamba wewe ni muelewa/mzungu tafsiri yake ni kwamba anamaanisha wewe ni bwege/zoba.

" Jamani Calvin, wewe piga simu muda wowote bana mume wangu mzungu halafu bonge la muelewa"

Hapo hata ngosha atasema " Mzungu wa gwanyoko".

Kuna vimjomba huwaga vinaongeaga ujinga ujinga mwingi sana kuhusu wanawake.

"Ooh Wanawake ni kama watoto. Mtoto anapokosea unamuonya yanaisha. Blah blah Mara ooh ishi nao kwa akili. Vumilia ujinga ujinga wa wanawake( wanaita eti maudhi ya wanawake)

Ndugu yangu kama unawaza kama hivyo hapo juu halafu una vihela hela, wanawake wakikujua watakuwa wanakugombania kinomanoma kwa sababu wanapenda sana kuwa extort and kuwa exploit wanaume wasio jielewa kama hao..

Siri moja kuhusu wanawake.👇👇

Mwanamke ni vile unavyo sema yupo.

Chochote unacho kisema kuhusu mwanamke basi ata jitune aendane nacho.

Kwa mfano Mimi nikianza kusema kwamba "Mademu wananipenda Sana" Na nikasema hivyo kwa muda mrefu kweli mademu wataanza kunipenda.

Mademu wakisikia kuna jamaa Fulani wanawake wanamuhonga Sana hela, wanawake wataanza kumtafuta na kuanza kumuhonga hela kweli.

Mkisema wanawake watu wazima ( mishangazi) siku hizi wanahonga sana vibenten... Majibu mnayo wenyewe.

Ukisema wanawake wanapenda kusagana au kuliwa Mix by Yas basi itakuwa hivyo hivyo.

Ukisema wanawake siku hizi wana tumia Sana dawa za makalio itakuwa hivyo mitaani...

....

Back to the topic. Achana kabisa na ujinga wa kusamehe makosa ya mwanamke ambae upo nae kwenye mahusiano.

Jenga tabia ya kuwa unafanya maamuzi ya kumuacha mwanamke Mara tu anapo fanya kosa hata kama ndio kosa la kwanza.

Mifano: 👇👇👇👇

1. Mwanamke kakufyonza.. Muache hapo hapo.

2 Mmepanga appointment akaghairi kuja... Muache hapo hapo.

3. Mwanamke kanuna bila sababu muache hapo hapo.

4. Umeomba mzigo kakupa excuse muache hapo hapo.

5. Umemwambia asifanye jambo Fulani akafanya muache hapo hapo....

Etc etc.

Utaipa nafsi yako satisfaction ya hali ya juu Sana na utakuwa ume send signal kwenye universe kwamba unataka mwanamke anae fanya na kufuata kila jambo unalolitaka and u know what ? Universe itaanza kukupa aina ya wanawake wenye vigezo unavyo vitaka.

.....

Pepo IPO hapa hapa duniani.

Walio tuletea dini wazungu na waarabu wanajua pepo ya mwanadamu IPO hapa hapa duniani ndio maana wana fight kwa hali na mali juu ya mambo ya kidunia.

Kwa mfano mgogoro wa Israel na Palestine kama jamaa wanajua kuna pepo kwanini wasiachane tu na hiyo ardhi wakaenda sehemu nyingine mwisho wa siku wataenda peponi
 
Na wewe ndo utakae mfanya akuoone " Mzungu"muelewa.

" We Calvin, wewe piga simu muda wowote bana mume wangu mzungu halafu bonge la muelewa"

Hapo hata ngosha @Ushmen atasema " Mzungu wa gwanyoko".

Kuna vimjomba huwaga vinaongeaga ujinga ujinga mwingi sana wanawake.

" Wanawake ni kama watoto. Mtoto anapokosea unamuonya yanaisha. Blah blah Mara ooh ishi nao kwa akili. Vumilia ujinga ujinga wa wanawake( wanaita eti maudhi ya wanawake)

Siri moja kuhusu wanawake. Mwanamke ni vile unavyo sema yupo.

Mademu wakisikia kuna jamaa Fulani wanawake wanamuhonga Sana hela, wanawake wataanza kumtafuta na kuanza kumuhonga hela.

Mkisema wanawake watu wazima ( mishangazi) siku hizi wanahonga sana vibenten... Malibu mnayo wenyewe.

Milano: 👇👇👇👇

Utaipa nafsi ya lo satisfaction ya hali ya juu na utakuwa ume send kwenye universe taarifa kwamba unataka mwanamke anae fanya na kufuata kila jambo unalolitaka and u know what ? Universe itaanza kukupa aina ya wanawake wenye vigezo unavyo vitaka.

na ile sala ya BWANA inayosema utusamehe makosa yetu kama sisi tunavowasemehe wengne .........nikifika hapo nasalije??
 
Fact
 
Hizo principles 5, in real life hiwezekani kuzitekeleza, je hizo zi apply hata kwa wife wa ndoa? au ni kwa extracurricular sexual relationship?
 
Hakuna mwanamke anaweza kuwa kila kitu unachokitaka.

Unaacha mtu kwa kuchelewa appointment, au kutoa excuse ya sex.. utaishi single mpaka utaporudi kwenye asili.
Sisi wanaume pia hatupo perfect.
Ukiachwa na kila unayemfyonza utaoa kweli au kudumu kwenye mahusiano?
 
Kila siku wanawake this wanawake that, kwamba mwanamke hana utashi hadi akubali kufuata kila unalolitaka au umeambiwa mwanamke ni malaika kwamba hatakiwi kukosea, ukitaka mwanamke mkamilifu iombe hiyo universe ikupe na uwezo wa uumbaji ili uumbe wako
 
Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia.

Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe.

Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni.

Na wewe ndo utakae mfanya akuone " Mzungu"muelewa.

Na akikuona "Mzungu" (muelewa) then you are fvckd up.

Ukiona mwanamke anawaambia watu kwamba wewe ni muelewa/mzungu tafsiri yake ni kwamba anamaanisha wewe ni bwege/zoba.

" Jamani Calvin, wewe piga simu muda wowote bana mume wangu mzungu halafu bonge la muelewa"

Hapo hata ngosha atasema " Mzungu wa gwanyoko".

Kuna vimjomba huwaga vinaongeaga ujinga ujinga mwingi sana kuhusu wanawake.

"Ooh Wanawake ni kama watoto. Mtoto anapokosea unamuonya yanaisha. Blah blah Mara ooh ishi nao kwa akili. Vumilia ujinga ujinga wa wanawake( wanaita eti maudhi ya wanawake)

Ndugu yangu kama unawaza kama hivyo hapo juu halafu una vihela hela, wanawake wakikujua watakuwa wanakugombania kinomanoma kwa sababu wanapenda sana kuwa extort and kuwa exploit wanaume wasio jielewa kama hao..

Siri moja kuhusu wanawake.👇👇

Mwanamke ni vile unavyo sema yupo.

Chochote unacho kisema kuhusu mwanamke basi ata jitune aendane nacho.

Kwa mfano Mimi nikianza kusema kwamba "Mademu wananipenda Sana" Na nikasema hivyo kwa muda mrefu kweli mademu wataanza kunipenda.

Mademu wakisikia kuna jamaa Fulani wanawake wanamuhonga Sana hela, wanawake wataanza kumtafuta na kuanza kumuhonga hela kweli.

Mkisema wanawake watu wazima ( mishangazi) siku hizi wanahonga sana vibenten... Majibu mnayo wenyewe.

Ukisema wanawake wanapenda kusagana au kuliwa Mix by Yas basi itakuwa hivyo hivyo.

Ukisema wanawake siku hizi wana tumia Sana dawa za makalio itakuwa hivyo mitaani...

....

Back to the topic. Achana kabisa na ujinga wa kusamehe makosa ya mwanamke ambae upo nae kwenye mahusiano.

Jenga tabia ya kuwa unafanya maamuzi ya kumuacha mwanamke Mara tu anapo fanya kosa hata kama ndio kosa la kwanza.

Mifano: 👇👇👇👇

1. Mwanamke kakufyonza.. Muache hapo hapo.

2 Mmepanga appointment akaghairi kuja... Muache hapo hapo.

3. Mwanamke kanuna bila sababu muache hapo hapo.

4. Umeomba mzigo kakupa excuse muache hapo hapo.

5. Umemwambia asifanye jambo Fulani akafanya muache hapo hapo....

Etc etc.

Utaipa nafsi yako satisfaction ya hali ya juu Sana na utakuwa ume send signal kwenye universe kwamba unataka mwanamke anae fanya na kufuata kila jambo unalolitaka and u know what ? Universe itaanza kukupa aina ya wanawake wenye vigezo unavyo vitaka.

.....

Pepo IPO hapa hapa duniani.

Walio tuletea dini wazungu na waarabu wanajua pepo ya mwanadamu IPO hapa hapa duniani ndio maana wana fight kwa hali na mali juu ya mambo ya kidunia.

Kwa mfano mgogoro wa Israel na Palestine kama jamaa wanajua kuna pepo kwanini wasiachane tu na hiyo ardhi wakaenda sehemu nyingine mwisho wa siku wataenda peponi
Ukiendelea kukaa nayo kichwani wewe ndio utapata shida, mwishowe pressure na visukari. Kusmehe is about you na amani yako si about her

Why wanaume wanaopotezea hawaishi kwa pressure most of time?

Forgive but keep it in mind
 
Kila siku wanawake this wanawake that, kwamba mwanamke hana utashi hadi akubali kufuata kila unalolitaka au umeambiwa mwanamke ni malaika kwamba hatakiwi kukosea, ukitaka mwanamke mkamilifu iombe hiyo universe ikupe na uwezo wa uumbaji ili uumbe wako
Hata wanaume wapuuzi nao wanataka wanawake wazuri, wenye heshima na adabu😅😅😅
 
Kila siku wanawake this wanawake that, kwamba mwanamke hana utashi hadi akubali kufuata kila unalolitaka au umeambiwa mwanamke ni malaika kwamba hatakiwi kukosea, ukitaka mwanamke mkamilifu iombe hiyo universe ikupe na uwezo wa uumbaji ili uumbe wako
Makosa yote anaruhusiwa kukosea ila sio.kutombwa nje 😁😁😁

Kosa hii yapaswa achinjwe 🤣🤣
 
Back
Top Bottom