nq marehem baba angu mkubwa amefarik mwaka jana akiwa na 90yrs alikua na watt ea2 asioelewan nao m1 alifarik kabak m1 nae baad ya kufa kaja kuuz nyumba ajawh kuish na mwanamk kwa ukorof wake na kusosameh makosa maisha yke man alone ht ndg tu kwake ilkua shida kimbebe umr ulipoend han mke wa kumsaidia watu ote aelewn nao manak ukimkoseq tu siku 1 asamei ana move on ht salam yako atak nahis we ndo unaenda kua mtu wa ivo hamna mkamilf ht we kuna watu unawakosea na wanavmilia aijalish anaekosea leo akaw mkosef daim kwako il preciate yo thought bro lakn maisha hayap ivo mda mwngn kusameh ni bora kulko kuhukum kila kosa hat aliotuumba anatusameh tukifanya tobaMwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia.
Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe.
Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni.
Na wewe ndo utakae mfanya akuone " Mzungu"muelewa.
Na akikuona "Mzungu" (muelewa) then you are fvckd up.
Ukiona mwanamke anawaambia watu kwamba wewe ni muelewa/mzungu tafsiri yake ni kwamba anamaanisha wewe ni bwege/zoba.
" Jamani Calvin, wewe piga simu muda wowote bana mume wangu mzungu halafu bonge la muelewa"
Hapo hata ngosha atasema " Mzungu wa gwanyoko".
Kuna vimjomba huwaga vinaongeaga ujinga ujinga mwingi sana kuhusu wanawake.
"Ooh Wanawake ni kama watoto. Mtoto anapokosea unamuonya yanaisha. Blah blah Mara ooh ishi nao kwa akili. Vumilia ujinga ujinga wa wanawake( wanaita eti maudhi ya wanawake)
Ndugu yangu kama unawaza kama hivyo hapo juu halafu una vihela hela, wanawake wakikujua watakuwa wanakugombania kinomanoma kwa sababu wanapenda sana kuwa extort and kuwa exploit wanaume wasio jielewa kama hao..
Siri moja kuhusu wanawake.👇👇
Mwanamke ni vile unavyo sema yupo.
Chochote unacho kisema kuhusu mwanamke basi ata jitune aendane nacho.
Kwa mfano Mimi nikianza kusema kwamba "Mademu wananipenda Sana" Na nikasema hivyo kwa muda mrefu kweli mademu wataanza kunipenda.
Mademu wakisikia kuna jamaa Fulani wanawake wanamuhonga Sana hela, wanawake wataanza kumtafuta na kuanza kumuhonga hela kweli.
Mkisema wanawake watu wazima ( mishangazi) siku hizi wanahonga sana vibenten... Majibu mnayo wenyewe.
Ukisema wanawake wanapenda kusagana au kuliwa Mix by Yas basi itakuwa hivyo hivyo.
Ukisema wanawake siku hizi wana tumia Sana dawa za makalio itakuwa hivyo mitaani...
....
Back to the topic. Achana kabisa na ujinga wa kusamehe makosa ya mwanamke ambae upo nae kwenye mahusiano.
Jenga tabia ya kuwa unafanya maamuzi ya kumuacha mwanamke Mara tu anapo fanya kosa hata kama ndio kosa la kwanza.
Mifano: 👇👇👇👇
1. Mwanamke kakufyonza.. Muache hapo hapo.
2 Mmepanga appointment akaghairi kuja... Muache hapo hapo.
3. Mwanamke kanuna bila sababu muache hapo hapo.
4. Umeomba mzigo kakupa excuse muache hapo hapo.
5. Umemwambia asifanye jambo Fulani akafanya muache hapo hapo....
Etc etc.
Utaipa nafsi yako satisfaction ya hali ya juu Sana na utakuwa ume send signal kwenye universe kwamba unataka mwanamke anae fanya na kufuata kila jambo unalolitaka and u know what ? Universe itaanza kukupa aina ya wanawake wenye vigezo unavyo vitaka.
.....
Pepo IPO hapa hapa duniani.
Walio tuletea dini wazungu na waarabu wanajua pepo ya mwanadamu IPO hapa hapa duniani ndio maana wana fight kwa hali na mali juu ya mambo ya kidunia.
Kwa mfano mgogoro wa Israel na Palestine kama jamaa wanajua kuna pepo kwanini wasiachane tu na hiyo ardhi wakaenda sehemu nyingine mwisho wa siku wataenda peponi
Kesi ya mauaji kivipi wakati akizingua una achana nae una replace?Wewe unazungumzia wasichana au mademu kwa hapo upo sawa.. Ila hayo yote haya mhusu Mke.. Mke ni wa kupuu zia matendo yake ili siku ziende mjenge familia.. Mke ukimkazia hivyo utapata kesi ya mauaji..
Amini kwamba baba ako mkubwa ameishi his life to the fullest.nq marehem baba angu mkubwa amefarik mwaka jana akiwa na 90yrs alikua na watt ea2 asioelewan nao m1 alifarik kabak m1 nae baad ya kufa kaja kuuz nyumba ajawh kuish na mwanamk kwa ukorof wake na kusosameh makosa maisha yke man alone ht ndg tu kwake ilkua shida kimbebe umr ulipoend han mke wa kumsaidia watu ote aelewn nao manak ukimkoseq tu siku 1 asamei ana move on ht salam yako atak nahis we ndo unaenda kua mtu wa ivo hamna mkamilf ht we kuna watu unawakosea na wanavmilia aijalish anaekosea leo akaw mkosef daim kwako il preciate yo thought bro lakn maisha hayap ivo mda mwngn kusameh ni bora kulko kuhukum kila kosa hat aliotuumba anatusameh tukifanya toba
Unashangaa kuacha mtu kwa kuchelewa appointment, Juma Njemba wa Kigoma alikuwa anatoa talaka kwa sababu chumvi imezidi au katafuna mchanga kwenye waliHakuna mwanamke anaweza kuwa kila kitu unachokitaka.
Unaacha mtu kwa kuchelewa appointment, au kutoa excuse ya sex.. utaishi single mpaka utaporudi kwenye asili.
Sisi wanaume pia hatupo perfect.
Ukiachwa na kila unayemfyonza utaoa kweli au kudumu kwenye mahusiano?
Sijasema uweke kinyongo. "Grudge" Nimesema usisamehe/ Cut her out of your life completelyUkiendelea kukaa nayo kichwani wewe ndio utapata shida, mwishowe pressure na visukari. Kusmehe is about you na amani yako si about her
Why wanaume wanaopotezea hawaishi kwa pressure most of time?
Forgive but keep it in mind
Ujumbe mzuri.Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia.
Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe.
Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni.
Na wewe ndo utakae mfanya akuone " Mzungu"muelewa.
Na akikuona "Mzungu" (muelewa) then you are fvckd up.
Ukiona mwanamke anawaambia watu kwamba wewe ni muelewa/mzungu tafsiri yake ni kwamba anamaanisha wewe ni bwege/zoba.
" Jamani Calvin, wewe piga simu muda wowote bana mume wangu mzungu halafu bonge la muelewa"
Hapo hata ngosha atasema " Mzungu wa gwanyoko".
Kuna vimjomba huwaga vinaongeaga ujinga ujinga mwingi sana kuhusu wanawake.
"Ooh Wanawake ni kama watoto. Mtoto anapokosea unamuonya yanaisha. Blah blah Mara ooh ishi nao kwa akili. Vumilia ujinga ujinga wa wanawake( wanaita eti maudhi ya wanawake)
Ndugu yangu kama unawaza kama hivyo hapo juu halafu una vihela hela, wanawake wakikujua watakuwa wanakugombania kinomanoma kwa sababu wanapenda sana kuwa extort and kuwa exploit wanaume wasio jielewa kama hao..
Siri moja kuhusu wanawake.👇👇
Mwanamke ni vile unavyo sema yupo.
Chochote unacho kisema kuhusu mwanamke basi ata jitune aendane nacho.
Kwa mfano Mimi nikianza kusema kwamba "Mademu wananipenda Sana" Na nikasema hivyo kwa muda mrefu kweli mademu wataanza kunipenda.
Mademu wakisikia kuna jamaa Fulani wanawake wanamuhonga Sana hela, wanawake wataanza kumtafuta na kuanza kumuhonga hela kweli.
Mkisema wanawake watu wazima ( mishangazi) siku hizi wanahonga sana vibenten... Majibu mnayo wenyewe.
Ukisema wanawake wanapenda kusagana au kuliwa Mix by Yas basi itakuwa hivyo hivyo.
Ukisema wanawake siku hizi wana tumia Sana dawa za makalio itakuwa hivyo mitaani...
....
Back to the topic. Achana kabisa na ujinga wa kusamehe makosa ya mwanamke ambae upo nae kwenye mahusiano.
Jenga tabia ya kuwa unafanya maamuzi ya kumuacha mwanamke Mara tu anapo fanya kosa hata kama ndio kosa la kwanza.
Mifano: 👇👇👇👇
1. Mwanamke kakufyonza.. Muache hapo hapo.
2 Mmepanga appointment akaghairi kuja... Muache hapo hapo.
3. Mwanamke kanuna bila sababu muache hapo hapo.
4. Umeomba mzigo kakupa excuse muache hapo hapo.
5. Umemwambia asifanye jambo Fulani akafanya muache hapo hapo....
Etc etc.
Utaipa nafsi yako satisfaction ya hali ya juu Sana na utakuwa ume send signal kwenye universe kwamba unataka mwanamke anae fanya na kufuata kila jambo unalolitaka and u know what ? Universe itaanza kukupa aina ya wanawake wenye vigezo unavyo vitaka.
.....
Pepo IPO hapa hapa duniani.
Walio tuletea dini wazungu na waarabu wanajua pepo ya mwanadamu IPO hapa hapa duniani ndio maana wana fight kwa hali na mali juu ya mambo ya kidunia.
Kwa mfano mgogoro wa Israel na Palestine kama jamaa wanajua kuna pepo kwanini wasiachane tu na hiyo ardhi wakaenda sehemu nyingine mwisho wa siku wataenda peponi
Kuna makosa ya kuonya na makosa ya kuacha siyo kila kosa ni la kuacha.
Makosa kama kuunguza mboga, kuzidisha chumvi, kuchelewa au kutokufika mkikubaliana, kununa, kufoka akiwa na hasira hayo ni makosa ya kibinadamu yanayoweza kuzungumzika.
Kosa lisilofaa kusameheka na sijawahi kuwaza kusamehe ni usaliti ukigundua mwanamke anamahusiano na mtu mwingine achana nae na usimrudie kwa hali yoyote hata kama duniani mtabaki wawili tu wewe na yeye
Kwahiyo na wewe mwanamke akikwambia mpangishie nyumba yake umnunulie na vitu vyake we unakubali?Wanawake wa Leo wapo tofauti hasa hawa kuanzia 30+ unamkuta amepanga Ana kila kitu akiona unampenda anakuambia nipangie chumba tufanye maisha ukikubali mnapanga Ila siku akikuchoka anakutimua kwakuwa hauna kitu.
Nimeiona hii trend so tunapoelekea huko mbele wanawake watakuwa wanaoa , wanamuweka mwanaume ndani na akizingua anatimuliwa
Kwakuwa njia ambazo wanaume wanatumia kuishi na mwanamke ni wrong Approach
Mfano kufukuza fukuza ukimfukuza anapata akili ya Kuwa na chake
Kwahiyo na wewe mwanamke akikwambia mpangishie nyumba yake umnunulie na vitu vyake we unakubali?