Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

Wewe unazungumzia wasichana au mademu kwa hapo upo sawa.. Ila hayo yote haya mhusu Mke.. Mke ni wa kupuu zia matendo yake ili siku ziende mjenge familia.. Mke ukimkazia hivyo utapata kesi ya mauaji..
 
nq marehem baba angu mkubwa amefarik mwaka jana akiwa na 90yrs alikua na watt ea2 asioelewan nao m1 alifarik kabak m1 nae baad ya kufa kaja kuuz nyumba ajawh kuish na mwanamk kwa ukorof wake na kusosameh makosa maisha yke man alone ht ndg tu kwake ilkua shida kimbebe umr ulipoend han mke wa kumsaidia watu ote aelewn nao manak ukimkoseq tu siku 1 asamei ana move on ht salam yako atak nahis we ndo unaenda kua mtu wa ivo hamna mkamilf ht we kuna watu unawakosea na wanavmilia aijalish anaekosea leo akaw mkosef daim kwako il preciate yo thought bro lakn maisha hayap ivo mda mwngn kusameh ni bora kulko kuhukum kila kosa hat aliotuumba anatusameh tukifanya toba
 
Wewe unazungumzia wasichana au mademu kwa hapo upo sawa.. Ila hayo yote haya mhusu Mke.. Mke ni wa kupuu zia matendo yake ili siku ziende mjenge familia.. Mke ukimkazia hivyo utapata kesi ya mauaji..
Kesi ya mauaji kivipi wakati akizingua una achana nae una replace?
 
Amini kwamba baba ako mkubwa ameishi his life to the fullest.

Angekuwa hai ningemtumia ya soda
 
Unashangaa kuacha mtu kwa kuchelewa appointment, Juma Njemba wa Kigoma alikuwa anatoa talaka kwa sababu chumvi imezidi au katafuna mchanga kwenye wali
 
Ukiendelea kukaa nayo kichwani wewe ndio utapata shida, mwishowe pressure na visukari. Kusmehe is about you na amani yako si about her

Why wanaume wanaopotezea hawaishi kwa pressure most of time?

Forgive but keep it in mind
Sijasema uweke kinyongo. "Grudge" Nimesema usisamehe/ Cut her out of your life completely
 
Ujumbe mzuri.
 
Mimi ni mdau wa maandiko matakatifu yanayosema kama hujamkuta mwanamke kwenye kosa la kuchepuka usimwache. Tuishi nao kwa akili tu. Vinginevyo tutaacha kila siku. Kama Nabii Ibrahim alishazinguliwa na mkewe Sara ije kuwa sisi? Ukimsamehe baada ya kumfuma anachepuka utakuwa unafanya kosa kubwa mno. Ninashauri pia wanaume tuwekeze zaidi kwenye kuwadanganya hawa viumbe. Wanapenda ahadi feki kama za wanasiasa. Pia muundie tatizo halafu litatue kama wanasiasa wanavyofanya.
 
Kuna makosa ya kuonya na makosa ya kuacha siyo kila kosa ni la kuacha.

Makosa kama kuunguza mboga, kuzidisha chumvi, kuchelewa au kutokufika mkikubaliana, kununa, kufoka akiwa na hasira hayo ni makosa ya kibinadamu yanayoweza kuzungumzika.

Kosa lisilofaa kusameheka na sijawahi kuwaza kusamehe ni usaliti ukigundua mwanamke anamahusiano na mtu mwingine achana nae na usimrudie kwa hali yoyote hata kama duniani mtabaki wawili tu wewe na yeye
 
Wanawake wa Leo wapo tofauti hasa hawa kuanzia 30+ unamkuta amepanga Ana kila kitu akiona unampenda anakuambia nipangie chumba tufanye maisha ukikubali mnapanga Ila siku akikuchoka anakutimua kwakuwa hauna kitu.


Nimeiona hii trend so tunapoelekea huko mbele wanawake watakuwa wanaoa , wanamuweka mwanaume ndani na akizingua anatimuliwa

Kwakuwa njia ambazo wanaume wanatumia kuishi na mwanamke ni wrong Approach

Mfano kufukuza fukuza ukimfukuza anapata akili ya Kuwa na chake
 
Kuna makosa ya kuonya na makosa ya kuacha siyo kila kosa ni la kuacha.

Makosa kama kuunguza mboga, kuzidisha chumvi, kuchelewa au kutokufika mkikubaliana, kununa, kufoka akiwa na hasira hayo ni makosa ya kibinadamu yanayoweza kuzungumzika.

Acheni kuwazoesha vibaya wanawake
Kosa lisilofaa kusameheka na sijawahi kuwaza kusamehe ni usaliti ukigundua mwanamke anamahusiano na mtu mwingine achana nae na usimrudie kwa hali yoyote hata kama duniani mtabaki wawili tu wewe na yeye
 
Kwahiyo na wewe mwanamke akikwambia mpangishie nyumba yake umnunulie na vitu vyake we unakubali?
 
Somo lako limeanza kama mzaha ila mwishoni umemalizia vizuri hapo kwenye universe

Hili somo ni somo la nafsi na uko sahihi kabisa kuwa ulimwengu humjua mtu na kuanza kumpa kile ambacho kipo kimehifadhiwa nafsin mwake
 
Kwahiyo na wewe mwanamke akikwambia mpangishie nyumba yake umnunulie na vitu vyake we unakubali?

Inategemea na situation niliyopo binafsi naweza kufanya au kutofanya Ila kitu ambacho unabidi kujua Wanaume weusi ni dhaifu Sana mbele ya wanawake.

Wanawake wengi unaowaona wanapanga Vyumba asilimia kubwa kodi na vitu wamenunuliwa na wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…