Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

Wanawake mna mambo sana
 
Kila siku wanawake this wanawake that, kwamba mwanamke hana utashi hadi akubali kufuata kila unalolitaka au umeambiwa mwanamke ni malaika kwamba hatakiwi kukosea, ukitaka mwanamke mkamilifu iombe hiyo universe ikupe na uwezo wa uumbaji ili uumbe wako
Nilikuwa nakutafuta bora umefika

Lakin navyokujua huyu atakukimbia mapema tu
 
Kuna maisha baada ya huo ujinga wa mapenzi......shauri enu!!!
 
Inategemea na situation niliyopo binafsi naweza kufanya au kutofanya Ila kitu ambacho unabidi kujua Wanaume weusi ni dhaifu Sana mbele ya wanawake.

Wanawake wengi unaowaona wanapanga Vyumba asilimia kubwa kodi na vitu wamenunuliwa na wanaume
Mwanaume ukiwa mjinga utaishia kuwekeza kwa wanawake, na nidhamu ya fedha yako haianzi tu ghafla wazazi wanatakiwa kuanza kuwafundisha watoto wao nidhamu ya fedha kwanzia wadogo, na kijana anapoanza kupokea pesa ya kwanza ya jasho lake aendelee kusisitizwa nidhamu.

Asione kutoa elfu 10 ni kitu kidogo tu kwake hiyo ni mbaya sana, kadri wanawake ambao siyo mke wako wanavyokupa sifa ya ubahili ndivyo kadri unavyokaribia malengo yako, binafsi sina kipato kikubwa sana, ninaheshimu hata senti yangu 1 pesa niliyoweza kusave kwa muda mfupi ndani ya miaka mi5 ni nyingi sana laiti kama ningekua natoa elfu 50 , laki bila kipingamizi naamini hiyo pesa yote niliyoweza kusave ningewekeza kwenye maisha ya wanawake.

Mwanamke asie mke wako utamuhonga na kumlipia kodi za nyumba pamoja na gharama zake za maisha na bado hiyo siyo guarantee ya mahusiano yenu bado ataenda kuliwa kimasihara na jamaa ambao hawatoi hata hela ya luku.

Watu waheshimu pesa zao wala wasiwe na haraka na wanawake kadri unavyopata achievements ndo na wao wanajisogeza hata ukiwa bahili bado wataendelea kuwa hapo karibu yako tu, tuache kuwekeza kwa wanawake.
 
Kwa mfano mgogoro wa Israel na Palestine kama jamaa wanajua kuna pepo kwanini wasiachane tu na hiyo ardhi wakaenda sehemu nyingine mwisho wa siku wataenda peponi
Well said bro.
 
Facts
 
Somo lako limeanza kama mzaha ila mwishoni umemalizia vizuri hapo kwenye universe

Hili somo ni somo la nafsi na uko sahihi kabisa kuwa ulimwengu humjua mtu na kuanza kumpa kile ambacho kipo kimehifadhiwa nafsin mwake
100% Fact
 
Ukweli huu wa kuzingatia
 
Hili dawati la familia na jinsia nalo limeharibu. Mambo yalikua yanaenda vizuri kwa mwanamke kujiweka mstari ulionyooka mwenyewe akifikiria bakora na makofi aliyopata hapo zamani alipotaka kutingisha kiberiti.
Lakini usimtie kovu au kilema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…