Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

Hili dawati la familia na jinsia nalo limeharibu. Mambo yalikua yanaenda vizuri kwa mwanamke kujiweka mstari ulionyooka mwenyewe akifikiria bakora na makofi aliyopata hapo zamani alipotaka kutingisha kiberiti.
Lakini usimtie kovu au kilema.
Fact
 
Mkuu hivi ulisoma chekechekea na la kwanza? Mbona unaandika vibaya hivi?
 
Tatizo mahusiano yamekuwa kama ajira.
Hizi scenario ni chache sana kwa nchi zilizoendelea. Lakini pia, gender roles zisipo fatwa kikamilifu madhara yake ndo haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…