Ndoa ni kujitoa muanga haina huruma kwa mwanaume.Moja kwa moja kwenye mada
Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama.
Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi.
Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje.
Ukibahatika zaidi nenda kamuulize mwanaume aliopo kwenye hiyo kesi vipi mke wake mwanzoni alikuaje.......? Na sura alionayo leo mke wake ndio hiohio alikua nayo siku wanafunga ndoa.......?
Halafu kama huyo mwanaume analia muulize analilia nini......?
NB
Mfumo jike ni mkubwa na hatari kaa kijanja
Endapo kama Wanandoa tarajali tayari kila mmoja anamiliki Mali zake, ni muhimu sana kuzisajili mali hizo kabla watu hao hawajaamua kuingia au kufunga Ndoa ili kuepusha migogoro ya ndoa na ya umiliki wa mali siku za baadaye endapo kama ndoa hiyo itaingia kwenye mgogoro. Sina uhakika kama Prenuptial Contracts zinatambulika kisheria hapa nchini Tz.Moja kwa moja kwenye mada
Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama.
Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi.
Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje.
Ukibahatika zaidi nenda kamuulize mwanaume aliopo kwenye hiyo kesi vipi mke wake mwanzoni alikuaje.......? Na sura alionayo leo mke wake ndio hiohio alikua nayo siku wanafunga ndoa.......?
Halafu kama huyo mwanaume analia muulize analilia nini......?
NB
Mfumo jike ni mkubwa na hatari kaa kijanja
Mi Sina mpango maishani mwangu kupeleka jambo mahakamani la mahusiano!!Moja kwa moja kwenye mada
Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama.
Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi.
Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje.
Ukibahatika zaidi nenda kamuulize mwanaume aliopo kwenye hiyo kesi vipi mke wake mwanzoni alikuaje.......? Na sura alionayo leo mke wake ndio hiohio alikua nayo siku wanafunga ndoa.......?
Halafu kama huyo mwanaume analia muulize analilia nini......?
NB
Mfumo jike ni mkubwa na hatari kaa kijanja
Huenda kifo cha huyo jamaa kimetokana na 'the Russian Game of Roulette.'Sema wanaume kwa kweli jasho letu linachukiliwa na hawa viumbe bure kabisa.Kuna mwamba kapiga mishe kajinyima sana mpaka kuna kipindi wana tunamaindi jamaa Akaja akajenga nyumba zake tatu za maana akaona sasa kukimbizana migodini basi akafungua na duka la vifaa vya ujenzi la jumla la lejaleja dah!!!Hakumaliza hata mwezi alipata ajali mbaya sana yaan mwanamke baada ya msiba kaweka ndugu zake kwenye nyumba za mme wake watu bado tuna machungu tunasikia Dukani anauxa na jamaa yake mmoja inaumiza sana mali za jamaa ndo basi tena maana mwanamke kakata kabisa mawasiliano na ndugu wa mwanaume maana nao wamekaa kimya kwa tukio la ndugu yao kufa ghafla.
Sasa hapo tatizo liko wapi? Si mkewe ulitaka arithi nani hizo mali??Sema wanaume kwa kweli jasho letu linachukiliwa na hawa viumbe bure kabisa.Kuna mwamba kapiga mishe kajinyima sana mpaka kuna kipindi wana tunamaindi jamaa Akaja akajenga nyumba zake tatu za maana akaona sasa kukimbizana migodini basi akafungua na duka la vifaa vya ujenzi la jumla la lejaleja dah!!!Hakumaliza hata mwezi alipata ajali mbaya sana yaan mwanamke baada ya msiba kaweka ndugu zake kwenye nyumba za mme wake watu bado tuna machungu tunasikia Dukani anauxa na jamaa yake mmoja inaumiza sana mali za jamaa ndo basi tena maana mwanamke kakata kabisa mawasiliano na ndugu wa mwanaume maana nao wamekaa kimya kwa tukio la ndugu yao kufa ghafla.
Wanatafuta huruma hawa sio waoaji mzee 🤣🤣🤣Naona vijana mshaanza kutishana tena....😂
Mbona minaona kama ndoa ni kitu chema tu, labda kama kuna sehem ulikosea but haikufanyi usivunje ndoa mkuu.
Ukiona mmeshindwana basi vunja ndia kisha oa tena, maana ndoa sio kaburi
nishachemkaMoja kwa moja kwenye mada