ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Tatizo lipo kwa huyo shemeji yetu kumsepesha jamaa ili yy ale mali na jemba yake.Sasa hapo tatizo liko wapi? Si mkewe ulitaka arithi nani hizo mali??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lipo kwa huyo shemeji yetu kumsepesha jamaa ili yy ale mali na jemba yake.Sasa hapo tatizo liko wapi? Si mkewe ulitaka arithi nani hizo mali??
Kifupi tu ni kwamba mfumo jike umesha kumeza kisawasawa kilicho baki kam unawatoto wa kiume hakikisha hawawezi kama baba yaoSasa mkizikataa ndoa mnataka wanawake waoane wenyewe au na nyie wanaume muoane wenyewe! Na wakifanya/mkifanya hivyo mtarudi hapa na kuanza kulaani vitendo vyao. Narejea tena kusema "Ndoa ni kwa wanaume na sio watoto wa kiume"
Wanaume huwa tunajitoa muhanga huku tukimtanguliza Mungu atusaidie sana, kwa akili/uwezo wa kibinadamu hakuna mtu anaeiweza ndoa.
unaweza kuandikisha hizo mali zako halafu huyo mwbnamke wako akatumia njia fupi yaani akakuua halafu yeye ndio akazimiliki mali zako kwa asilimia miamoja. Na hili nalo utalikwepaje? Kwasababu wakati mwanaume anahangaika kuhakikisha familia inapata mahitaji. Muda huo mwanamke huhangaika ni jinsi gani atamteka mume wake yaani kwa kumtawala nakuchonganisha na watoto ndugu marafiki kisha kumletea mikosi maishani ikiwemo kumwendea kwa waganga kuzini njee! Na kumnyima mbunye kisha kumharibu kisaikolojia kwa dharau za hapa na pale. Kiburi, kununa bila sababu nk.Endapo kama Wanandoa tarajali tayari kila mmoja anamiliki Mali zake, ni muhimu sana kuzisajili mali hizo kabla watu hao hawajaamua kuingia au kufunga Ndoa ili kuepusha migogoro ya ndoa na ya umiliki wa mali siku za baadaye endapo kama ndoa hiyo itaingia kwenye mgogoro. Sina uhakika kama Prenuptial Contracts zinatambulika kisheria hapa nchini Tz.
si anakufanyia mipango ya kimya kimya bila wewe kujua kisha anakuua ghafla halafu anamiliki. Wakati huo wewe uko kaburini. Halafu anaolewa ndani ya miezi mitatu baada kifo chako!Wanawake wengi wanapata mali za bwerere,mie siwezi kuruhusu mtu ale mali yangu kabla hajala lazima jambo lifanyike
Wewe uligundua nini baada ya kufanya hayo unayotushauri tuyafanye? Sio wote tuna muda wa kwenda kushinda siku nzima uko mahakamaniMoja kwa moja kwenye mada
Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama.
Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi.
Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje.
Ukibahatika zaidi nenda kamuulize mwanaume aliopo kwenye hiyo kesi vipi mke wake mwanzoni alikuaje.......? Na sura alionayo leo mke wake ndio hiohio alikua nayo siku wanafunga ndoa.......?
Halafu kama huyo mwanaume analia muulize analilia nini......?
NB
Mfumo jike ni mkubwa na hatari kaa kijanja
Je, unafahamu kitu kinachoitwa 'Pre-marrital Contract' ??????unaweza kuandikisha hizo mali zako halafu huyo mwbnamke wako akatumia njia fupi yaani akakuua halafu yeye ndio akazimiliki mali zako kwa asilimia miamoja. Na hili nalo utalikwepaje? Kwasababu wakati mwanaume anahangaika kuhakikisha familia inapata mahitaji. Muda huo mwanamke huhangaika ni jinsi gani atamteka mume wake yaani kwa kumtawala nakuchonganisha na watoto ndugu marafiki kisha kumletea mikosi maishani ikiwemo kumwendea kwa waganga kuzini njee! Na kumnyima mbunye kisha kumharibu kisaikolojia kwa dharau za hapa na pale. Kiburi, kununa bila sababu nk.
Kuachika na kichukua mali.Siku hizi wanandoa hawaaminiani kabisa .... mwanamke anaingiza mguu mmoja ndani mguu mwingine nje kwenye ndoa ....
Kiufupi anaolewa huku psychologically kashajiandaa kuachika [emoji23]
Labda alitaka apewe yeye urithi.....Sasa hapo tatizo liko wapi? Si mkewe ulitaka arithi nani hizo mali??
Si umesema alipata ajali, mke ndio alisababisha ajali???Tatizo lipo kwa huyo shemeji yetu kumsepesha jamaa ili yy ale mali na jemba yake.
Si umesema alipata ajali, mke ndio alisababisha ajali?
Nyie mnatumaliza sana ...mwanamke ndo kamaliza show ...uchawi upo dada .Si umesema alipata ajali, mke ndio alisababisha ajali???
Ila binadamu, mwanaume hata akiugua hapo kitandani miaka 10 siku akidanja lazma tu "mke kamuua" mnachekesha nyieNyie mnatumaliza sana ...mwanamke ndo kamaliza show ...uchawi upo dada .
Wanawake huwa wanahusikankwa kiasi kifupi katika Vigo vya Waume zao. Kuna Jamaa yangu alikuja Zanzibar akawa anapambana sana na biashara za vyakula akawa ana supply mpaka kwenye mahotel akakutana na PISI ya kule Kasikazini ilikuwa inafanywa kazi hotel akaamua kuishi nayo na Jamaa mambo yalimuendea vizuri alifungua maduka matatu pale Stone town. Na hapa Dar akanunua kiwanja na anajenga nyumba ya kiwango. Jamaa akaanza na safari za China, Thailand na Turkey alikuwa anaenda kuchukua mizigo.Ila binadamu, mwanaume hata akiugua hapo kitandani miaka 10 siku akidanja lazma tu "mke kamuua" mnachekesha nyie
Vifo vya wanaume lazma mke ahusishwe......mna mamboWanawake huwa wanahusikankwa kiasi kifupi katika Vigo vya Waume zao. Kuna Jamaa yangu alikuja Zanzibar akawa anapambana sana na biashara za vyakula akawa ana supply mpaka kwenye mahotel akakutana na PISI ya kule Kasikazini ilikuwa inafanywa kazi hotel akaamua kuishi nayo na Jamaa mambo yalimuendea vizuri alifungua maduka matatu pale Stone town. Na hapa Dar akanunua kiwanja na anajenga nyumba ya kiwango. Jamaa akaanza na safari za China, Thailand na Turkey alikuwa anaenda kuchukua mizigo.
Siandiki yote Jamaa alikufa akiwa amekaza sebureni na alikuwa tegemezi kwa Wazee wale Kijijini walifanya utafiti yule Mwanamke ndiye alihusika.
Mwanamke Sasa hivi kaolewa na Jamaa mwingine ni marufuku sana na hela anayo ya kutosha.
Kuweni na huruma Wanawake Dunia hii tunapita
Sijui Kwanini mnakuwa suspicious sanaVifo vya wanaume lazma mke ahusishwe......mna mambo
Mnawaoneaga tu wanawake wengine, japo wapo kweli wanaowatanguliza....Sijui Kwanini mnakuwa suspicious sana
Huwezi pata mke sahihi kwa njia hiyo,Moja kwa moja kwenye mada
Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama.
Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi.
Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje.
Ukibahatika zaidi nenda kamuulize mwanaume aliopo kwenye hiyo kesi vipi mke wake mwanzoni alikuaje.......? Na sura alionayo leo mke wake ndio hiohio alikua nayo siku wanafunga ndoa.......?
Halafu kama huyo mwanaume analia muulize analilia nini......?
NB
Mfumo jike ni mkubwa na hatari kaa kijanja