Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
🤣🤣🤣🤣Mnawaoneaga tu wanawake wengine, japo wapo kweli wanaowatanguliza....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Mnawaoneaga tu wanawake wengine, japo wapo kweli wanaowatanguliza....
usemayo ni kweli kabisaa. Tatizo linaanzia mwanzo mwanamke anajifanya mpole kweli anajifanya anakupenda saana. Mpaka unajisahau kwamba baadaye atakua shetani na hapo ndio wengi wanapo pigwa t.k.o nduguJe, unafahamu kitu kinachoitwa 'Pre-marrital Contract' ??????
Ni suala la kuamua wewe mwenyewe juu ya namna ya nami hasa anayetakiwa kuwa mmiliki au mrithi wa Mali zako hata baada ya wewe mwenyewe kufariki dunia. Hata mwenza wako wa ndoa anaweza kukosa haki zote za kumiliki Mali zako ulizochuma wewe mwenyewe peke yako baada ya wewe kufa, ni suala la kupanga, kuamua na kukubaliana tu kati ya wenza kabla ya kuingia au kufunga ndoa yenu. 'Kupanga ni Kuchagua,' Uamuzi ni wako.