Je, unafahamu kitu kinachoitwa 'Pre-marrital Contract' ??????
Ni suala la kuamua wewe mwenyewe juu ya namna ya nami hasa anayetakiwa kuwa mmiliki au mrithi wa Mali zako hata baada ya wewe mwenyewe kufariki dunia. Hata mwenza wako wa ndoa anaweza kukosa haki zote za kumiliki Mali zako ulizochuma wewe mwenyewe peke yako baada ya wewe kufa, ni suala la kupanga, kuamua na kukubaliana tu kati ya wenza kabla ya kuingia au kufunga ndoa yenu. 'Kupanga ni Kuchagua,' Uamuzi ni wako.