Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #61
Kichwa kiki kosa akili sehemu za siri lazima zishambuliwe na kichwa cha chini kwa nyukilia kali
kwa vile ishagundulika kuwa na nyie utamu mnaupata tena mara mbili zaidi yetu, Hivyo kwa kizazi hiki maboya wamepungua.
kwa vile ishagundulika kuwa na nyie utamu mnaupata tena mara mbili zaidi yetu, Hivyo kwa kizazi hiki maboya wamepungua.
Fanyeni kazi,acheni vitonga.
Mwanamke aliyezaliwa familia duni ndiye anaamini ili upendwe lazima apewe hela! Wakati baba za wenzenu wanatafuta hela baba zenu walikuwa wanakesha DDC mlimani park?
Wakati wengine tunatafuta hela Baba yako yuko busy kunyang'anya binti za watu khanga zao huko visimani na mbugani, Ona sasa leo binti yake bila kuhongwa unaona hupendwi🤣.
Sisi ndo washikqji wa Baba yako kama vipi njoo tu tutakutunza, wewe ni binti yetu bwana.
Mtu mzima hovyoo
Utachakazwa mpaka iwe bwawa. Mtu mwenye haki ya kudai pesa ya mwanaume ni mke wa ndoa pekee yake. Wengine umalaya tu
Fanyeni kazi mtafute pesa za kwenu acheni kutia huruma utadhani mliumbwa vilema
Endeleeni kujidanganya
Sasa hivi tunawabonda kuondoa Nye Nye Nye nyeeeeeeee tu.
Mbona kama typing ya kidume🤔
yaan adi nitoe hela ndo nipate mbususu,kwani iyo inauzwa?
Huyu hajaolewa, Hawa ndo Madem wanaobondwa daily😀
Nimeipenda hii
Toa penzi uone kama pesa haitoki
Only fool can give you money
Kichwa kiki kosa akili sehemu za siri lazima zishambuliwe na kichwa cha chini kwa nyukilia kali
Lengo lako nisimamishe OMBO kwenye uzi wa wanawake🤣
Kwanini bibi yako nisimpe pesa lakini?
Hasara kubwa sana kuzaa mwanaume ambae hana mchango kwenye maisha ya mwanamke yeyote ukianza na mama yake mzaziNi hasara kubwa sana! Kuzaa mtoto anaewaza kwamba mtoto was mama mwingine atakua anamhudumia Kila kitu halafu yeye atakua anampa uchi tu!!
Yaani ampe uchi kiitwacho mapenzi halafu ye apewe hela,hiyo ni biashara ya ukahaba iliokomaa kwenye jamii!!!
Jitahidi usiwe hasara Bali faida!!
Mama mzazi alishajenga maisha na baba akilima na kupalilia bustani za mizabibu kama mwanamke was mithali 31,je nyie mnaokaa na kutegemea kupewa pesa na mme badala ya kuwa kama mwanamke wa mithali tuwaweke kwenye kundi gani !!?zaidi ya wafanyabiashara ndani ya ndoa!!?Hasara kubwa sana kuzaa mwanaume ambae hana mchango kwenye maisha ya mwanamke yeyote ukianza na mama yake mzazi
Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....
Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...www.jamiiforums.com
Nakazia, Toa Penzi bure kama umependa kum@ ni kidonda tu.Aisee
Naona jiwe limegonga panapo,
pole mwanaume, ila toa hela kama umependa
pesa ni makaratasi
Natoa hela kama ninayo sasa kama sina hela nitoe nini ?Naona jiwe limegonga panapo,
pole mwanaume, ila toa hela kama umependa
pesa ni makaratasi
lakini si inakua kama hisani tu right?Hapana
Nazungumza kama nilivyoandika
Ukimpenda mwanamke wako utampa hela
🤣🤣🤣We ni shoga?
Au unaliwa na akina p.diddy
Umejuaje mwandiko wa kiume kama huliwi
We mwenzetu ulizakuwa kwenye utajiri au? Usitukane maskini, wakati Huna uhakika babako ni mlinzi au chokoraaSiku hizi pia, kudate na demu maskini&omba omba ni uzwazwa...so mjipange sawa sawa.
Unless uwe soo exceptional.
Mtajua mwenyewe.
Mama mzazi alishajenga maisha na baba akilima na kupalilia bustani za mizabibu kama mwanamke was mithali 31,je nyie mnaokaa na kutegemea kupewa pesa na mme badala ya kuwa kama mwanamke wa mithali tuwaweke kwenye kundi gani !!?zaidi ya wafanyabiashara ndani ya ndoa!!?
Hilo ni janga kama majanga mengine!
DuNamshukuru Mungu sana kwa huyu mwanamke.Vinginevyo sasa hivi ningekuwa natombanisha mijusi tu.