Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

Ombaomba katika 1&2
Fanyeni kazi nyie, mapenzi siyo biashara.
 
Samaki ukishamvua chambo ya nini? Kama unadhani kipimo cha kupendwa ni kupewa fedha, basi jua tayari umekua bidhaa kama vile nyanya, vitunguu, cement n.k
 
Samaki ukishamvua chambo ya nini? Kama unadhani kipimo cha kupendwa ni kupewa fedha, basi jua tayari umekua bidhaa kama vile nyanya, vitunguu, cement n.k
Umenena Mkuu halafu A Woman who doesn't ask for anything She deserves everything. Mleta uzi anaonekana ni Materialistic, ina maana nikiwa na 10 M nikimpa ataona nampenda akija mwenye 100M ndio ataonekana anampenda.
This is rubbish kabisa 😏
 
Omba omba pro max. Una ramboo me nna mua ujinga ujinga tu me utaniua - Yamoto Band

Hapo mtera dam ni guarantee, kujichoreshaaa

🤢🤮🤮🤮
 
Then wakadate ATM Machine haha
 
Huyo amekuweka kitambaa usoni usione anayofanya

Ameshajua unanjaa ya vitu kama hivyo
 
Wanaume hawa hawa wanao hangaika na vyeti mitaani bila ajira ndio unategemea wakuhonge?
Wewe fanya kazi acha kukariri mambo yaliyopitwa na wakati...
Ulicho andika ni hadithi za abunuwasi za miaka ya 80s ambapo ajira zilikuwa nje nje?
 
Nawasaidia maana wanaona wanaonewa sana
Wakati majukumu ya mwanamke yako pale pale
Ndio maana unaambiwa mtoto akililia wembe mpe, hamsikii alafu mnajifanya wajuaji
Yani hata Mungu muumba ameweka mwanaume amhudumie mwanamke asilimia 100
 
Majukumu ya Mwanamke ni yapi ? 🤔
 
Wanaume hawa hawa wanao hangaika na vyeti mitaani bila ajira ndio unategemea wakuhonge?
Wewe fanya kazi acha kukariri mambo yaliyopitwa na wakati...
Ulicho andika ni hadithi za abunuwasi za miaka ya 80s ambapo ajira zilikuwa nje nje?
Aisee umenena Mkuu, huyu Money Penny hajui tu jinsi wanaume tunavyo struggle huku mtaani ili kuboresha hadhi zetu. Unapambana na bado unakutana na vikwazo na bado yeye anaona kama hatufanyi yale mambo ni muhimu kwa ajili ya Wanawake 🤣🤣🤣
 
Nawahurumia sana vijana wanaoingia kwenye mahusiano na wanawake masikini wenye damu ya omba omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…