Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

Mwanaume anaekupa hela kila ukihitaji huyo hakupendi anakuchezea. Hakuna mwanaume anaye oa mwanamke aliyekua anampa hela mara kwa mara huko kwenye uchumba maana anajua maisha ni kupanda na kushuka.

Wanaume tunawanyima hela wanawake ili tujue kama wanatupenda au wanapenda hela zetu. kama wewe sii mke wake na mwanaume akakupa hela ni wazi kuwa hakupendi amekununua.

Wanawake njoeni hapa huu ni ukweli
 
Soma hapa we Money Penny
 

Money Penny soma hapa na uelewe na ukielewa hautarudia tena kuandika uzi kama huu, kama unahongwa na kupewa hela ni wewe na usiwafanye Wanawake wenzao wakaanzisha vimbwanga kwenye mahusiano yako kwa sababu ya huu uzi wako.
Kama huzijui shida basi shukuru na sema Alhamdulillah kwa maisha uliyonipa.
Aliyekufanya uishi maisha ya kuhongwa na kupewa kila unachokitaka ndio yule yule aliyemnyima yule anayevumilia kwa kula mihogo na maji.
 
Majukumu ya Mwanamke ni yapi ? ๐Ÿค”
 
Nawahurumia sana vijana wanaoingia kwenye mahusiano na wanawake masikini wenye damu ya omba omba
Mwenzetu wewe ulizaliwa kwa farao ee?
Hata Yesu alizaliwa umaskinini, hao unaowahurumia ni akina nan labda mpaka tuwashangae
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Huyo muhusika anaeongea anaonekana kwake kuna stress mpaka amezikubali
Simshangai, kamuoe basi
 
Nmeamin kwel wanawake ni viumbe dhaifu
 
Dume hili
 
Huyo muhusika anaeongea anaonekana kwake kuna stress mpaka amezikubali
Simshangai, kamuoe basi
This is rubbish ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Jitahidi kuwa muungwana aisee. Umeandika maneno ya kihuni sana how come nimuoe Mwanaume mwenzangu.
 
This is rubbish ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Jitahidi kuwa muungwana aisee. Umeandika maneno ya kihuni sana how come nimuoe Mwanaume mwenzangu.
Duh ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
Why do you write stupid words like this?
 
Elewa dhana ya omba omba , btw thread yako ipo ki kahaba kahaba isitumike kama reference kwa wanawake wasio na maadili ya u kahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ