Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #161
Danga ni mamako mzaziKwahiyo wewe ni danga uliyokubuhu na umezeeka Kabisa
Natafuta dola 10,000 kwanza πππJiwe limepiga gizani panapostahili
Sikuhizi wanaume mnalia hiviImeisha hiyo
Shombo si ndio imekuleta hapaNatafuta dola 10,000 kwanza πππ
Ili tuongee vizuri, lakini punguza kuandika shombo aisee unaonekana bonge la mshamba
Hizi ni mentality za wanawake masikini, wa hali na mali.Nasemaje Nasemaje!
1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi
2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana
3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa bro mwingine
Me nakumbuka wakati nachumbiwa miaka 48 iliopita, dah Mume alikuwa anatoa mpaka senti ya mwisho ilimradi ua lake nivutie, nipendeze, nisilie
Mwaka wa 48 sasa na bado ananitunza, ananipa hela, ananisafirisha, ananinunulia zazawadi kila mwezi
Asikiae na afahamu, hata Biblia imeandika popote ilipo Hazina ya mtu na Moyo wake uko hapo, elewa dya dyaaaaaa!
Wadada mmelilia sana girl code, ndio hio
π€£π€£π€£Shombo si ndio imekuleta hapa
Harufu imekuvutia
Acha kulia lia
Unaziona mentality zako we MwanamkeHizi ni mentality za wanawake masikini, wa hali na mali.
Majina huumba! Money Penny! Sikujua, Sikudhani, Karume Kenge! Inama nikusweke!!Nasemaje Nasemaje!
1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi
2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana
3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa bro mwingine
Me nakumbuka wakati nachumbiwa miaka 48 iliopita, dah Mume alikuwa anatoa mpaka senti ya mwisho ilimradi ua lake nivutie, nipendeze, nisilie
Mwaka wa 48 sasa na bado ananitunza, ananipa hela, ananisafirisha, ananinunulia zazawadi kila mwezi
Asikiae na afahamu, hata Biblia imeandika popote ilipo Hazina ya mtu na Moyo wake uko hapo, elewa dya dyaaaaaa!
Wadada mmelilia sana girl code, ndio hio
Sasa tajiri huku jamii forum unafanya nini labda?Hizi ni mentality za wanawake masikini, wa hali na mali.
PoyeeeeMajina huumba! Money Penny! Sikujua, Sikudhani, Karume Kenge! Inama nikusweke!!
Maskini ni teye aliekuja ku commentUnaziona mentality zako we Mwanamke
Money Penny
This is a logical non sequitur fallacy.Sasa tajiri huku jamii forum unafanya nini labda?
Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki
Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjuewww.jamiiforums.com
Anzishq wako wa maana basi tuje angalau tuku sapotiπ€£π€£π€£
Uzi umekuwa wa kiboya sana etiiii πππ
Sawa tajiriThis is a logical non sequitur fallacy.
Ndiyo maana nikasema una mentality za kimasikini. Kwa hali na mali.
Et 50 kwa 50 , Wakiwa Kwenye zege Sisi wanawake hatuwezi kuchanganya Zege, Nyoooh Wanawake BhanaHatukuumbwa tufanye kazi wanawake
Ila nyie wanaume ndio mmesababisha
Huu uzi wako ni wa kizembe na kitoto sana aisee hujui umemwandikia nani na kuna wangapi wanaousoma halafu bado unaendelea kupata nguvu ya kujibishana huoni kama unazidi kujiaibisha ?Maskini ni teye aliekuja ku comment
Matajiri siku zote tunaongea ukweli na wanaume hawapendi mwanamke mkweli
Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki
Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjuewww.jamiiforums.com
Nakutafutia dola 10,000Anzishq wako wa maana basi tuje angalau tuku sapoti
Huna hata uzi m1 unambwela mbwela kwa vicheko, ovyo!
Logical non sequitur fallacy.Sawa tajiri
Wacha maskini tuongee ukweli
Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki
Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjuewww.jamiiforums.com
Tupo na Mishangazi inayokopesheka siyo wale wa alfu mbili Gen alpha! Pesa before and after use!!Poyeeee
Naona jiwe limepiga mahala pake
Pole sana.