Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Kwa kweli ndoa ni kitu kigumu. Una degree mbili na talaka juu? Nadhani wanaoweza kumudu mikiki Miki ya kwenye ndoa ni std 7 Hadi diploma .huko kwingine unanua matatizo.
Uko sawa kabisa mwanamke msomi ni stress tupu kwani anajua kila kitu huwezi mdanganya chochote kuna wanawake wanajua kila kitu hadi kubeti sasa huyu ukipitia bar na colleagues zako ukirud home huna cha kumdanganya kwanza unakuta ushahukumiwa [emoji23]
 
Daah!!!
 
Mbona unataka mkristo? wakati wakristo unaowataka imani yao haiwaruhu kuoa mwanamke aliyeachwa isipokuwa amefiwa na mumewe.
 
Upweke ni kitu kimoja kibaya sanaa
Kila mtu anahitaji kwa na mtu katika maisha yake
All the best
 
Sisi wenye miaka 31 na tunaitaji kuwa na mwenza tunafanyaje jaman mbona mnatunyima usingizi [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Mbona unataka mkristo? wakati wakristo unaowataka imani yao haiwaruhu kuoa mwanamke aliyeachwa isipokuwa amefiwa na mumewe.

Hilo nimeliweka wazi kabisaaa
"Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake"

soma tena kwa umakini
 
Hapa wanatafutwa wa kugegedana tu ngoja nije mm tugegedane mm Nina watoto wanne Kila mtu na mama Yake Kaz yangu Ni dereva bajaj mwenge elimu yangu Ni ka degree kamoja ka IT,kadegree kamoja ka microbiology and forensic science (Australia) na ka diploma kamoja ka conflict mangmnt ,umri miaka 48 kwa Sasa Sina pesa ila Nina akili ya kutafuta pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…