Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

unacheka tena?
 
Woow!!Hatimae nmepata mwenza karibu mama tuyajenge nahisi kukudhi vigezo vyako..for so long nmekuwa nahitaji mtu kama wewe.
 
Hilo nimeliweka wazi kabisaaa
"Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake"

soma tena kwa umakini
Tunazungumzia mwanaume wa kikristo(kwa status yake yoyote aliyonayo awe single,mgane au mtalaka) haruhusiwi kukuoa wewe uliyeachwa kwa sababu atakuwa anazini kwa mujibu wa maandiko.Ndoa ya kikristo haina kuachana isipokuwa kwa kosa la uzinzi. otherwise imethibitika kwamba sababu ya talaka yako ulimfuma mwenzio anazini.

Samahani,hapo nipo tu kwenye hiyo sifa moja ya kikristo uliyoitaka
 
Masharti yako ni magumu ukizingatia ni single maza tena na mtalaka juu ni bora utupe sababu ya iyo talaka kabla mtu ajaamua kujilipua.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Shahada mbili zinahusu nini?
Hizo shahada mbili - ni 1 ya sababu ndoa yake kuvunjika, iwe direct / indirect wapo wanawake wanaosoma na wanaelimika, na wapo wanaosoma vichwa vyao vina corrupt wanataka kuplay role ya mwanaume kwenye ndoa
 
Uko sahihi kabisa
ndio maana nimesoma mume wa mtu hapana
 
Hizo shahada mbili - ni 1 ya sababu ndoa yake kuvunjika, iwe direct / indirect wapo wanawake wanaosoma na wanaelimika, na wapo wanaosoma vichwa vyao vina corrupt wanataka kuplay role ya mwanaume kwenye ndoa

Jambo usiloijua usinichukie bango kulitetea....
 
Masharti yako ni magumu ukizingatia ni single maza tena na mtalaka juu ni bora utupe sababu ya iyo talaka kabla mtu ajaamua kujilipua.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app

ungekua na haki ya kuandika ulichoandika kama ningekua nimekulazimisha kuwa na mimi

ila sababu hakuna ukijuacho jinyamazie tuu. hiyo ni heshima
 
Kila la heri, nashauri vumilia kwanza, jipe break
 
Mimi naogopa sana kufwata hawa wanawake wanaowawekea conditions wanaume. Kuna mmoja alitoa tangazo hapa na masharti mengi nilivyomfwata huko chumba cha siri
Hata sikuamini kachoka sana maisha yamempiga lakini vigezo alivyoweka utamhurumia
Nikajua huyu ana shida ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…