Aisee!! weka picha yako basiKama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi
Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka
Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Hahahah alieachwa atakuwa komredi😅😅😅
By default asilimia kubwa ya wanawake .. BAADHI hujiweka kuwa high value, ni design flan ya defensive mechanism wanayotumia..Mimi naogopa sana kufwata hawa wanawake wanaowawekea conditions wanaume. Kuna mmoja alitoa tangazo hapa na masharti mengi nilivyomfwata huko chumba cha siri
Hata sikuamini kachoka sana maisha yamempiga lakini vigezo alivyoweka utamhurumia
Nikajua huyu ana shida ya akili
Kila la heri, nashauri vumilia kwanza, jipe break
Mimi naogopa sana kufwata hawa wanawake wanaowawekea conditions wanaume. Kuna mmoja alitoa tangazo hapa na masharti mengi nilivyomfwata huko chumba cha siri
Hata sikuamini kachoka sana maisha yamempiga lakini vigezo alivyoweka utamhurumia
Nikajua huyu ana shida ya akili
Hapa wanatafutwa wa kugegedana tu ngoja nije mm tugegedane mm Nina watoto wanne Kila mtu na mama Yake Kaz yangu Ni dereva bajaj mwenge elimu yangu Ni ka degree kamoja ka IT,kadegree kamoja ka microbiology and forensic science (Australia) na ka diploma kamoja ka conflict mangmnt ,umri miaka 48 kwa Sasa Sina pesa ila Nina akili ya kutafuta pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Kwa kweli ndoa ni kitu kigumu. Una degree mbili na talaka juu? Nadhani wanaoweza kumudu mikiki Miki ya kwenye ndoa ni std 7 Hadi diploma .huko kwingine unanunua matatizo.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hahaha wacha weee
Moyo wangu umekudondokea[emoji8]Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi
Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka
Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Dah....nguvu za misuli siyo lazima? [emoji2960]Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi
Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka
Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Dah...mkuu.... mbona amesema wazi kabisa...hataki ushauri....[emoji2960]kuna wanaume wengi tu wana 40 years na wana ujinga mwingi sana
Mimi sijui hii post ni ya lini lakini ninachotaka kusema jf lilikuwa jukwaa matured wakati linatoka jambo kuwa jamii na siku kadhaa mbele, sasa hivi si jukwaa la weledi tena ni la watoto wengi sijui au limekumbwa na kadhia ya wingi wa smart phones! Hivyo unaweza kuwa serious umeweka hoja yako lakini wanatokea wa kui personalize utadhani wakati unaiandaa mlikuwa wote au walikupa wao mawazo hayo!Jambo usiloijua usinichukie bango kulitetea....
Mimi naogopa sana kufwata hawa wanawake wanaowawekea conditions wanaume. Kuna mmoja alitoa tangazo hapa na masharti mengi nilivyomfwata huko chumba cha siri
Hata sikuamini kachoka sana maisha yamempiga lakini vigezo alivyoweka utamhurumia
Nikajua huyu ana shida ya akili
Asantekuna wanaume wengi tu wana 40 years na wana ujinga mwingi sana