Mwanaume kila unapoombwa pesa na mwanamke ukitoa unaonekana mjinga

ni kweli matokeo yake ni yy kukuona zoba.
 
mawardat Beesmom Kelsea Demi Kalpana kwahiyo mkituomba hela tukawapa, mnaendaga kuzi-spend na wanaume mnaowapenda 😭
Ukishampa pesa mtu inakuwa ni mali yake iweje umpangie matumizi?

Na wewe unampaje mwanamke pesa na unajua hakupendi? Kama sio wako official atakuwa na anayempenda and yes ataspend nae ile pesa uliyompa.
 
Toa muongozo kiaje?
MTU mmependana ila hamwaminiani....ukipata shida anakuona tapeli kumbe ni shida tu imemfanya aombe msaada na huenda hana tabia ya kuomba ila ndo kapata shida na hana kimbilio lingine.
 
fanikiwa.

🀣🀣🀣🀣
 
MTU mmependana ila hamwaminiani....ukipata shida anakuona tapeli kumbe ni shida tu imemfanya aombe msaada na huenda hana tabia ya kuomba ila ndo kapata shida na hana kimbilio lingine.
Kwahiyo bila Mimi angekufa?
Kakupa utelezi siku 1 tu kaweka mkeka wa shida zake mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…