Mwanaume kuitegemea hela ya mwanamke ni ukahaba mamboleo

Mwanaume kuitegemea hela ya mwanamke ni ukahaba mamboleo

Kwenye library yetu ya JANDONI, kitabu cha UANAUME,sura ya 7:1-5.

"Kwenye nyumba mwanaume akiwa na laki tatu mke milion 1 basi jumla nyumba ina laki tatu "

Inaendelea zaidi sura 10:5-9

"Hela ya mwanamke haijawahi kuwa tamu ni chungu,kama shubiri husiitegemee wala kuipigia hesabu kwani kuna siku itakudhalilisha tena mbele za watu ."

Najua vijana wengi wa kiume wa sasa hawawezi kuelewa sababu hawaja pata hiki kitabu cha JANDONI so sitoshangaa nao siku wakipigania haki sawa ,50/50 kwani mitaala yetu ya elimu inawafundisha kufikiria hivyo kama wafikiriavyo wanawake.

Na kadri wanawake wanavyozidi kupush agenda zao za 50/50,haki sawa na ndivyo,idadi ya wavulana inazidi kuongezeka huku idadi ya wanaume ikipungua.
 
Kuna jambo hujanielewa mkuu, kuna tofauti kati ya mwanamke kutoa msaada na mwanaume kutafuta kuoatmwanamke atakae mpa msaada.

Hakika mwanamke aweza kumsaidia mwanaume kwa mambo kadhaa ila sio mwanaume anaoa ili asaidiwe. Kuna jamaa alikua mpaka anauliza "yule mwanamke anafanya kazi gani nimuoe anisaidie maisha" huu ndio ujinga naoupinga hapa
Hapo nimekupata

Sawa mkuu Hapo nimekupata
 
Upo sahihi mkuu, furaha ya mwanamke ni kuhudumiwa, kutunzwa na kupendwa hata kama nina milioni kumi ndani, wewe kama baba wa familia unatakiwa utunze familia yako kutokana na uwezo wako.

Una hela ya tembele na ugali toa kwa familia halafu mwanamke sasa ajazie penye upungufu, atoe pesa yake aongezee samaki wakati wewe ushatoa kodi ya meza.

Ukitegemea mwanamke ndiyo alishe familia ni suala la muda tu hakuna mwanamke wa hivyo tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia. Cha msingi kila mmoja asimame katika nafasi yake na atimize majukumu yake, ninacho nitakusaidia busara ikiniongoza lakini usinitwishe majukumu yako.
 
Ukitegemea mwanamke ndiyo alishe familia ni suala la muda tu hakuna mwanamke wa hivyo tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia.
Cha msingi kila mmoja asimame katika nafasi yake na atimize majukumu yake, ninacho nitakusaidia busara ikiniongoza lakini usinitwishe majukumu yako.
Wanaume tunashtuka Siku hizi, wanaume tukomae kujiwekea akiba ya uzeeni, tusijitanue sana kwenye kuhudumia wanawake na watoto pekee bila kujiandalia uzee wetu!

Kama una uwezo wa kuhudumia kifahari watoto na mke na bado ukajiandalia uzee wako vizuri hakuna shida!

Kama huna uwezo wa kufanya yote kwa pamoja, basi anza kujiandalia uzee wako kwanza then next iwe ni watoto n'a mke wako!

Ukijifanya unahudumia sana (mf. Kusomesha watoto kwenye mishule ya gharama kubwa) kwa kujikamua na kijibana sanaaa, jiandae kuaibika uzeeni, maana watoto watakuwa vere klozi na mama yao,huku wakirejea namna ulivyokuwa hashi enzi za ujana wako!

Note: sijasema usihudumie, hudumia lakini hakikisha uzee wako pia ni kipaumbele chako, ikitokea umefariki kabla ya kuzeeka basi watafaidi akiba zako pia, sio mbaya!
 
Upo sahihi mkuu, furaha ya mwanamke ni kuhudumiwa, kutunzwa na kupendwa hata kama nina milioni kumi ndani, wewe kama baba wa familia unatakiwa utunze familia yako kutokana na uwezo wako.

Una hela ya tembele na ugali toa kwa familia halafu mwanamke sasa ajazie penye upungufu, atoe pesa yake aongezee samaki wakati wewe ushatoa kodi ya meza.

Ukitegemea mwanamke ndiyo alishe familia ni suala la muda tu hakuna mwanamke wa hivyo tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia. Cha msingi kila mmoja asimame katika nafasi yake na atimize majukumu yake, ninacho nitakusaidia busara ikiniongoza lakini usinitwishe majukumu yako.
Hakika jukumu la kutunza familia ni la mwanaume. LAKINI PIA MWANAMKE ANAEPASWA KUPENDWA, KUTUNZWA NA KULINDWA NI YULE TU ALIYEKUBALI NAFASI NA MAJUKUMU YAKE YA ASILI.

Wewe million 10 ndani umezitoa wapi ?! Bila shaka ni wale wa haki sawa 50/50 career woman, hapa napingana na wewe nikiwa na uso mkavu. Kama UNAONA YAFAA MWANAUME KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE YA ASILI KWANINI WEWE USITIMIZE MAJUKUMU YAKO YA ASILI ?!

Je uliumbwa kutafuta au ni mwanaume ndio kaumbwa kutafuta ?! Kana mwanaume anatafuta na kuhudumia familia wewe unatafuta na kujitunzia ili iweje NDIO UBINAFSI HUU NA WANAWAKE NI WABINAFSI SANA.

Yani tena wewe ndio haufai hata punje, yani unataka haki sawa na wewe utengeneze mapesa yako afu na special treatment bado unaitaka hebu acha uayawani mkuu.

Unataka mwanaume atimize wajibu wake kiasili lakini wewe hautaki kutimiza majukumu yako kiasili. Mwanamke kiasili ni mlezi wa familia sasa wewe watoto umewatelekeza kwa dada wa kazi wewe kutwa kuzungusha makalio maofisini alafu ati uhudumiwe, upendwe, utunzwe hebu kua serious we dume jike pambana na hali yako.

Wanaostahili kupendwa, kulindwa na kutunzwa kwa pendo kuu ni wale waliokubali nafasi yao kama wanawake nyie madume jike kajihudumieni wenyewe.
 
Unataka mwanaume atimize wajibu wake kiasili lakini wewe hautaki kutimiza majukumu yako kiasili. Mwanamke kiasili ni mlezi wa familia sasa wewe kutwa kuzungusha makalio maofisini alafu ati uhudumiwe, upendwe, utunzwe hebu kua serious we dume jike pambana na hali yako.
Hapa nakuunga mkono. Watoto majumbani wana kula vyakula vya low quality poorly prepared kwa sababu ha mshahara wa laki 5 kwa mwezi.

Hii sio sawa.
 
Back
Top Bottom