Mkuu mwanamke anayeingia kwa ndoa na anamawazo akiachwa itakuaje HAFAI KWA NDOA period. Moja - Kwanini awaze kua ataachwa ?!, Jibu la kubashiri, ana mapungufu anayojua hayavumiliki.
Mbili - Kwanini awe na insurance, Je unajua kua na plan B nikutokua tayari kuwekeza juhudi ya kutosha kwa plan A ?!
Umetoa mfano wa Zari, kwa mtazamo wako mkuu, Zari anafaa kua mke bora na mwenye maadili ?! Huyu huyu Zari mwenye kuzaa na kila mwanaume au kuna Zari mwingine mkuu. Huyu huyu aliezaa na Diamond huku alikua kaolewa na Ivan au Zari mwingine ?!
Zari huyu tunaeona mapaja yake kila siku mitandaoni au mwingine, je drama queen aweza kua mke mkuu ?!
She was never a wife material on the first place kumtumia kama mfano ni kuharibu usumption nzima mkuu.