Nimeiona hii vijana wa siku hizi wameshupaa kabisa lazima aoe mwanamke anayepata kipato. Ukimuuliza sababu anakwambia ili amsaidie kwenye majukum hataki Goal keeper. Wangejua wanawake wenyewe hawatakii hii kasumba wangeacha.Kuna jambo hujanielewa mkuu, kuna tofauti kati ya mwanamke kutoa msaada na mwanaume kutafuta kuoatmwanamke atakae mpa msaada.
Hakika mwanamke aweza kumsaidia mwanaume kwa mambo kadhaa ila sio mwanaume anaoa ili asaidiwe. Kuna jamaa alikua mpaka anauliza "yule mwanamke anafanya kazi gani nimuoe anisaidie maisha" huu ndio ujinga naoupinga hapa
Mkuu naomba niongezee watoto wanafanyia ukatili na dada wa kazi mwanamama yuko "ofisini" eti nae apendwe na kuhudumiwa kwa lipi ?Hapa nakuunga mkono.
Watoto majumbani wqna kula vyakula vya low quality poorly prepared kwa sababu ha mshahara wa laki 5 kwa mwezi.
Hii sio sawa.
Ni utelezi tu mkuu mengine tumewapachika sisi tu.Hivi Mungu alimuumba Mwanamke kumsaidia Mwanaume kufanya nini?
Embu tuanzie hapo. Au alimuumba Mwanake kumuongezea mwanaume shida juu ya shida??!!
Hata mimi kwakweli siungani nalo. Kama mume unajiweza hebu mtunze mke wako acha kumshindisha barabarani na juani.Mkuu naomba niongezee watoto wanafanyia ukatili na dada wa kazi mwanamama yuko "ofisini" eti nae apendwe na kuhudumiwa kwa lipi ?
Ni sahihi ila ukiiweka kama primary goal myfriend utaishi kwa mawazo maana hela ya mkeo si yako.Ila mkuu kwenye maisha ya ndoa huwezi ukasema utakuwa unatoa huduma kwa asilimia 💯 kuna mahala mwanamke atakusaidia tu anaweza asikuambie na akafanya kwa sababu mkishakuwa wanandoa mnakuwa mwili mmoja na mnasaidiana kulea familia
Ni kweli kwa asili wanawake ni wabinafsi sana na wala tusiwalaumu ndivyo walivyoumbwa na ndio maana kama ulivyosema mtu akiweka mawazo ya kusaidiwa na mwanamke, hakika atashangazwaNi sahihi ila ukiiweka kama primary goal myfriend utaishi kwa mawazo maana hela ya mkeo si yako.
akitaka kuziishi ndoto zake akae kwaoKwa muktadha huu, hakuna haja ya mwanamke kufanya kazi yaani wote hamuwezi kujikuta mnafanya kazi ya aina Moja, mwanaume atafute na mwanamke atafute, matokeo yake ndio tunazalisha panya road si ndio???
Nikirudi Kwenye hoja, ni kweli maswahibu mengi yanayotokea Kwenye ndoa ni Kwa sababu wanaume tunajitakia kutokana na kuruhusu hiyo inayoitwa democrasia mwisho wanawake wanadai tume huru, Lakini tayari tushakubali kuruhusu na wao wafanye kazi, pesa Yao wanayoipata ni Kwa ajili ya Nini? Au hela wanaipata kulingana na kazi wafanyazo mwanaume hupaswi kuuliza? Na usipouliza je huoni utamfanya aanze kuziishi ndoto zake? Wakat tumekubaliana mwanamke akitaka kuziishi ndoto zake akae kwao????
Msimamo ni ule uleakitaka kuziishi ndoto zake akae kwao
🤣🤣🤣wengi wameunia na kubaki wanalalamika wakidhani wanawake wana roho mbaya au tabja mbaya. Sio tabia mbya bali ndivyo walivyo.Ni kweli kwa asili wanawake ni wabinafsi sana na wala tusiwalaumu ndivyo walivyoumbwa na ndio maana kama ulivyosema mtu akiweka mawazo ya kusaidiwa na mwanamke, hakika atashangazwa
Kwani mkuu chanzo cha panya roadi ni njni?Kwa muktadha huu, hakuna haja ya mwanamke kufanya kazi yaani wote hamuwezi kujikuta mnafanya kazi ya aina Moja, mwanaume atafute na mwanamke atafute, matokeo yake ndio tunazalisha panya road si ndio???
Huo mfano wako wa Diamond na Zari nimeuelewa Sasa mkuu kuna mwanamke anataka insurance ya ndoa yake ndio maana sometimes na yeye anaamua kutafuta ikitokea ameachwa na Mumewe anakuwa na kitu chakumsaidia kuendesha maisha yake na mimi nakupa mfano huo huo wa Diamond & Zari hivi mfano Zari asingekuwa mishe nyingine alipoachwa na Diamond mambo yake yangekuaje? Maana sio wanawake wote wanaodai mgawanyo wa MaliNi utelezi tu mkuu mengine tumewapachika sisi tu.
Anatakiwa kukupa utelezi, akuzalie watoto na kuangalia nyumba na mali za familia.
Ndio maana huwezi kukuta Mke wa Mohamed Dewj anafanya ujasiriamali hata kama Mo anaweza kumpa mtaji mkubwa.
Hujifunzi kwa Bakhresa au kwa Marehemu Mengi mke wake alikuwa ni wa nyumbani pamoja na kwamba ana pesa na vitega uchumi vya mabilioni?
Au basi tuzungumzie kijana mwenzetu Diamond a.k.a Simba anapooa mke wake lazima akae nyumbani alee watoto na familia. nadhani hatujasahau kisa cha Diamond na Zali.
Zali aliolewa na diamondi akiwa mfanya biashara mkubwa tu. Lakini aliacha vyote akakaa Madale ili Diamondi apate utulivu.
Walikuja kuachana kwa sababu zingine kabisa ambazo hazihusiani na mada ya leo.
Ongezea nyama nyama bidada tutanue madaSawa!!
Hiyo ya kuachwa huoaswi kuipa nafasi kabisa jnapofikiria swala la ndoa. Leave everything run naturally.Huo mfano wako wa Diamond na Zari nimeuelewa Sasa mkuu kuna mwanamke anataka insurance ya ndoa yake ndio maana sometimes na yeye anaamua kutafuta ikitokea ameachwa na Mumewe anakuwa na kitu chakumsaidia kuendesha maisha yake na mimi nakupa mfano huo huo wa Diamond & Zari hivi mfano Zari asingekuwa mishe nyingine alipoachwa na Diamond mambo yake yangekuaje? Maana sio wanawake wote wanaodai mgawanyo wa Mali
Kuna mambo ambayo mwanamke hawezi kufanya kutokana na maumbile yake lakini pia kuna mambo ambayo mwanamke anamzidi mwanaume.. tena pakubwa sanaNi utelezi tu mkuu mengine tumewapachika sisi tu.
Anatakiwa kukupa utelezi, akuzalie watoto na kuangalia nyumba na mali za familia.
Ndio maana huwezi kukuta Mke wa Mohamed Dewj anafanya ujasiriamali hata kama Mo anaweza kumpa mtaji mkubwa.
Hujifunzi kwa Bakhresa au kwa Marehemu Mengi mke wake alikuwa ni wa nyumbani pamoja na kwamba ana pesa na vitega uchumi vya mabilioni?
Au basi tuzungumzie kijana mwenzetu Diamond a.k.a Simba anapooa mke wake lazima akae nyumbani alee watoto na familia. nadhani hatujasahau kisa cha Diamond na Zali.
Zali aliolewa na diamondi akiwa mfanya biashara mkubwa tu. Lakini aliacha vyote akakaa Madale ili Diamondi apate utulivu.
Walikuja kuachana kwa sababu zingine kabisa ambazo hazihusiani na mada ya leo.
My friend hakuna mwanaume anayeogopa wanawake wenye mafanikio. Elewa vizuri mada ya leo na majadiliano. Tumesema hakuna anyewaogopa. na kweli wengine wana akili nyingi na vipawa vingi kutuzidi.Kwenye generation yetu wapo wanawake ambao kiuchumi wako vizuri kuliko wanaume wengi.. ukiwa na ideology yako lazima wanawake dizaini hiyo uwaogope yani
Huo mfano wako wa Diamond na Zari nimeuelewa Sasa mkuu kuna mwanamke anataka insurance ya ndoa yake ndio maana sometimes na yeye anaamua kutafuta ikitokea ameachwa na Mumewe anakuwa na kitu chakumsaidia kuendesha maisha yake na mimi nakupa mfano huo huo wa Diamond & Zari hivi mfano Zari asingekuwa mishe nyingine alipoachwa na Diamond mambo yake yangekuaje? Maana sio wanawake wote wanaodai mgawanyo wa Mali
Ni malezi mabovu ya hao watotoKwani mkuu chanzo cha panya roadi ni njni?
Sijasema Zari ni wife material ila nilimtolea mfano kutengeneza hoja yanguMkuu mwanamke anayeingia kwa ndoa na anamawazo akiachwa itakuaje HAFAI KWA NDOA period. Moja - Kwanini awaze kua ataachwa ?!, Jibu la kubashiri, ana mapungufu anayojua hayavumiliki.
Mbili - Kwanini awe na insurance, Je unajua kua na plan B nikutokua tayari kuwekeza juhudi ya kutosha kwa plan A ?!
Umetoa mfano wa Zari, kwa mtazamo wako mkuu, Zari anafaa kua mke bora na mwenye maadili ?! Huyu huyu Zari mwenye kuzaa na kila mwanaume au kuna Zari mwingine mkuu. Huyu huyu aliezaa na Diamond huku alikua kaolewa na Ivan au Zari mwingine ?!
Zari huyu tunaeona mapaja yake kila siku mitandaoni au mwingine, je drama queen aweza kua mke mkuu ?!
She was never a wife material on the first place kumtumia kama mfano ni kuharibu usumption nzima mkuu.
OkSijasema Zari ni wife material ila nilimtolea mfano kutengeneza hoja yangu