Mwanaume masikini ni lofa, hapaswi kupendwa

Huwa nashangaa hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikuwa kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa.

Mimi kwakuwa ananijua ni tajiri mtoto nikimuuliza huna mme akasema anae ila hana pesa Wala kazi kalala ndani aisee nikamuambia inakuaje na unakuwa na mwanaume lofa yaani pesa ya kukutunza tu Hana je ataweza kuwa tajiri kama Mimi ataweza kweli.

Nikampa kimillion 1 nikamuambia aende akafungue biashara na mumewe lofa Ili watunze familia alinishukuru mara Mbili mbili aisee yaani kama ningekuwa Namtaka ningeshamla Mimi nashauri dada zangu msiolewe na malofa Hawa masikini mtakufa na shida zenu sababu hawatobadilika.
Nimeamua kubonyeza "ignore" button.

Sitokaa nisome upuuzi wako na hutakaa uone hata jina la Msanii humu.

Nawashauri wapenda haki wote na wazalendo kuachana na huyu chawa aliyetumwa kutuvuruga tutoke nje ya masuala nyeti ya kitaifa
 
Huwa nashangaa hawa wanawake wanaoishi na masikini yaani kuna mwanamke alikuwa kachakaa kapigwa vumbi na mtoto mgongoni anatia huruma anakuja kuniomba pesa.

Mimi kwakuwa ananijua ni tajiri mtoto nikimuuliza huna mme akasema anae ila hana pesa Wala kazi kalala ndani aisee nikamuambia inakuaje na unakuwa na mwanaume lofa yaani pesa ya kukutunza tu Hana je ataweza kuwa tajiri kama Mimi ataweza kweli.

Nikampa kimillion 1 nikamuambia aende akafungue biashara na mumewe lofa Ili watunze familia alinishukuru mara Mbili mbili aisee yaani kama ningekuwa Namtaka ningeshamla Mimi nashauri dada zangu msiolewe na malofa Hawa masikini mtakufa na shida zenu sababu hawatobadilika.
Screenshot_20240915-221014.jpg
 
Back
Top Bottom