Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

Hiyo inaitwa "konkota wa mlenda"!Kazi sana.
 
Ujinga ni kufuatilia maisha ya watu na kutaka waishi vile unaona wewe inafaa.
Ni zaidi ya uzwazwa, yeye km anataka kuishi kimalaya malaya ruksa asitake kuhalalisha na kwa wengine..!!
Trump aendelee na msimamo wake tuzike wapumbavu wawaza wanawake km sehemu ya kujiburudisha… 😏
 
Ni zaidi ya uzwazwa, yeye km anataka kuishi kimalaya malaya ruksa asitake kuhalalisha na kwa wengine..!!
Trump aendelee na msimamo wake tuzike wapumbavu wawaza wanawake km sehemu ya kujiburudisha… 😏
Acha wenye uwezo wale maisha.

Mtu mwenye hela hata uwe na wake watano bado ukimwendea Msichana kumtongoza anakubali wala hajali una wangapi nyumbani.

Tumia fursa kusaidia na wengine maisha mazuri.

Shida ya wasomi ni.mabahiri sana
 
Dr mzima huna hata aibu unahamasisha ngono 😏
 
Dr mzima huna hata aibu unahamasisha ngono 😏
Ni maswala ya kijamii haya.

Badala ya kugonga hovyo hovyo.....oa wake zako ukae nao watambulike utakuws umewaheshimisha
 
Maisha sio kukulana tu ewe phalla mwenzangu😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…