Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

Kwaiyo 80 ni hela kubwa sana kumpa mwanamke Kwa ajil ya urembo apendeze wengine wakiwahudumia mnawaona wanapenda mate yanawajaa

Wanaume tafuten hela achen visingizio kama huwez hudumia mke wako achen kuja huku kulia mpate huruma za wengine
Kha! Hatari so 80k sio hela nyingi mweee!!! Bora niendelee na nyeto ya mlenda
 
Halafu hizi ishu za kusema wanawake hawajui wanataka nini, Huwa mnamaanisha Nini!?.
 
Aaah nakuelewa mkuu ila namuona yupo "vere gudi" sava bien
Ngoja nikwambie ukweli kabisa ambao unatakiwa uambiwe na wazee wa ukoo wako tu na baadhi ya wengine wenye utu

Mwanamke mwenye mtoto sio dhambi kuolewa na mwanaume,, ila ni dhambi kuolewa na mwanaume ambae hajawahi kuishi na mwanamke pika pakua yaani wewe mwanaume unakuwa ingizo jipya kwenye maisha ya kuoa but unachagua single maza.
Hii haitakiwi japo mimi nilifanya hili kosa na sijutii kwa upande mwingine maana limenifundisha kwa njia ngumu sana kitu ambacho sikufundishwa na mtu mwingine yule.
 
Katika watu ambao ningewapiga ban wasiingie kwenye huu uzi ni mzabzab but ushaingia tayari
Ngoja nione kama hajaleta habari za kununua pussy hapa..
Sasa mbususu unanunua na nini jama i mwenyewe nikikuna pumbuz natoka majivu.
Sii umeona mrembo hapo anakwambia eti 80k hela ndogo kuspend kwa mrembo wako. Madem hawa wanadharau sana hela
 
Halafu hizi ishu za kusema wanawake hawajui wanataka nini, Huwa mnamaanisha Nini!?.
Nakupa mfano kwanza kuichangamsha akili yako

Mke au mwanamke wa mabest huenda ushawahi sikia hii ishu,jamaa alimhudumia huyo demu wakati anaumwa,mpaka demu akapona

Na jamaa alifilisika kwa kuuza mali zake ili demu apate matibabu,lkn demu baaada ya kupona akaja kuolewa na rafiki yake mabest

Je hapo imekaaje?
 
Sasa unaoa kutafuta nini kama umekamilika, ili usipate shida pesa zako zakuunga unga , Kaa hapo na dada zako, weka mama yako na shangazi zako walio achika huko Kaa nao hapo! Mwache binti wawatu aolewe na wanaojua maana ya ndoa.
 
Sasa mbususu unanunua na nini jama i mwenyewe nikikuna pumbuz natoka majivu.
Sii umeona mrembo hapo anakwambia eti 80k hela ndogo kuspend kwa mrembo wako. Madem hawa wanadharau sana hela
Hao ni wasenge tu na sasa hivi wamebaki kula za wapumbavu wachache ambao bado wanachukulia kama kiumbe mwenye K ni maalumu sana kwao
Wanasahau kuwa kuna uzee ambao hautakuvumilia pale nafsi itakapokuwa inawish kula mchemsho wa sato halafu wewe pesa huna wakati huo..
Uzeeni hautaweza kuivumilia njaa na arosto ya mboga fulani kama unavyofanya ujanani..
Utafariki mapema kwaajili ya njaa ya ndani ( Inner hunger)
 
Sasa unaoa kutafuta nini kama umekamilika, ili usipate shida pesa zako zakuunga unga , Kaa hapo na dada zako, weka mama yako na shangazi zako walio achika huko Kaa nao hapo! Mwache binti wawatu aolewe na wanaojua maana ya ndoa.
Expert mbona kama unanikalipia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huko sukumani bila kumcharaza makofi mara kwa mara anaona humpendi na humjali, Baada ya makofi utaona mapenzi yananoga na nyumba inakua na amani.
 
Hiyo ni hulka tu ya mtu, hata wanaume wapo kibao, mke anavulia yote lakini siku akikaa vizuri anamtosa huyo mwanamke!

Kuna mbaba alipata changamoto ya afya akaumwa sana mke akapambana mpaka akapata nafuu na kupona kumbuka hata ndugu walikuwa wanamnyanyapaa na kuulizana anaumwa nini! Mke hakujli alivyopona matusi Kwa mkewe nilikulazimisha unitunze yeye na ndugu zake wanamchangia mkewe na kumfukusa, je angemterekeza hospital mwezi mzima bado nyumbani! Kusema mwanamke hajui anachotaka sio sawa, mwanaume ndiye hajui mke anataka nini.
 
Sasa mkuu mimi niliwish kuoa hawa under 25 ambao hawana watoto lakini wa umri huo wengi hawataki kuolewa na mimi sitaki kuoa mwanamke mwenye wa miaka 26 and above nataka hawa wa earlier 20's bado hawajayajua mengi

Ila juzi Kati Nilikutana na kisanga cha demu mmoja wa 20's mimi siku nawaza kuweka uzio wa pale tu napoish yeye ananiambia anataka hela ya ๐Ÿคฃbirthday mkuu naona kabisa hapa ni maji na mafuta
 
โ„Ž๐‘ข๐‘œ ๐‘ข๐‘ก๐‘Ž๐‘“๐‘–๐‘ก๐‘– ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ