kruzostom
JF-Expert Member
- Sep 6, 2024
- 310
- 419
๐๐๐๐ข๐ช ๐๐๐ฎ๐ค๐คHayo nadhan ni mazoea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ข๐ช ๐๐๐ฎ๐ค๐คHayo nadhan ni mazoea tu
Tena anamuoa binti labda form four, yeye degree, mke yupo nyumbani yeye anajiendeleza mpaka PhD Kisha anaanza kumtukana mke hujasoma unajiuliza kama ulitaka msomi siungeoa huko, au wakati unasoma na huyu naye ungemwacha ajiendeleze? Mke akisema anaonekana hana akili,Sasa Hilo linahusianaje na kutokujua akitakacho!?. Alichotaka ni kwenda kuolewa na rafiki wa mabest baada ya yeye kupona kwa nguvu za mabest, unasemaje hajui akitakacho!?
Mnachanga tamaa , akili za kushikiwa na kujua mtu akitakacho.
Mtu asojua akitakacho ni mwendawazimu pekee, hata mtoto anajua akitakacho.
Mfano wako ni sawa na mwanaume, mkeo anakutimizia Kila hitaji lako, mtiifu, mnyenyekevu, umezaa nae, lakini Bado unachepuka, na hapa tuseme wanaume nao hawajui wakitakacho!?.
Mwanaume anajua anataka nini hapo,ni ishu moja tu hapo,anataka k basi imeisha hiyoHata wanaume no hivyo hivyo pia, akiwa na mke mpole atataka mcharuko atachepuka.
Mke akiwa Hana kazi atatafuta kimada mfanyakazi.
Mke akiwa mpole atatafuta wakorofi nje huko.
Mke akimpenda atamuona boya na kuanza kumdharau, mifano ipo.
Mbona hamsemi hamjui mkitakacho!?.
Watoto wako wanakula elfu kumi kwa siku?? Hata wakiwa kumi ni hivyo?Umetelekeza watoto wangapi kaka kipato.
Turudi kwenye neno kutelekeza kwanza,, kwako limekaaje?? Yaani ukisikia watoto wametelekezwa unaamini vipi kuwa mtoto huyo katelekezwa?Changu kidogo 30k per day mtoto ATAISHI vipi sina bima, wala pension
Ulishawahi walau kutembelea ofisi za ustawi wa jamii? Tembelea siku moja au fanya tafiti utakuja niambia, unazani washauri wa ndoa huwa wanamshauri kujenga maghorofa ?Pakada nina hakika ulie nae hapigi mzigo,,
Pia marafiki zako mostly hawapigwi mashine maana from your write nasense hisia kali sana pale unapowashutumu wana kuhusu kutokupiga mzigo..
Swali ni kwamba mshajiuliza ni kwanini wana hawapigi mzigo??
Je mna mvuto huo?
Je mna hamasisha wana wapige mashine au ndio full ubabe mpaka mwana anaona ataichosha mashine yake bure?
Yes mkuu ni mauzo ya Kila siku bado bado hujatoa expenses ya lazima hapo ni 10kUnamaanisha nini,hapo tunazungumzia 900,000 kwa mwezi
Ndo hapo sasa au mwengine anachepuka na house girl. Mimi nawashangaaga wanaosema mwanamke hajui akitakacho.Tena anamuoa binti labda form four, yeye degree, mke yupo nyumbani yeye anajiendeleza mpaka PhD Kisha anaanza kumtukana mke hujasoma unajiuliza kama ulitaka msomi siungeoa huko, au wakati unasoma na huyu naye ungemwacha ajiendeleze? Mke akisema anaonekana hana akili,
ila nawapongeza wanawake akichoka basi hatauliza ni vitendo mwisho mwanaume pressure.
Basi msiwange wanawakeMwanaume anajua anataka nini hapo,ni ishu moja tu hapo,anataka k basi imeisha hiyo
Mimi mpaka nilikuwa nafanyiwa yale mambo ya tanga,nawekewa kigoda bafuni naogeshwa na mambo yetu yale ya kisosi lkn nilifanya ujinga kwasababu ya k tu
Kwahiyo wanaume tunapotoka nje sio kwamba hatuwapendi wake zetu laa,ni ujinga wa kuendekeza kichwa cha chini
Kwahiyo tunajua tunataka nini
Niambiye hapo๐คฃutamhudumia vipi mtoto mimi Nina wategemezi wanne ambao sio watoto wangu Yan ndugu upoUnamaanisha nini,hapo tunazungumzia 900,000 kwa mwezi
Ukiona mke wa hivyo hajielewi tu hivi unajilwa kila kitu unamuonq vipi mtu dhaifu!Nakubaliana na wewe,nilitaka kwanza kumpa mfano Shanily
Mwanamke ukimpa mapenzi safi atakuona hufai atataka pesa,na kinyume chake
Ukiwa a nice guy utamboa atamtaka mhuni,na ukiwa mhuni atamtaka a nice guy
Ukimpenda sana ni kosa unakuwa dhaifu kwake unamboa na usimpompenda ni shida,yan list ni ndefu hapa
Itoshe kusema mwanamke hajui anataka nini hasa
Ha ha ha ha Kama umekubaliana na status yake ya maisha wewe jitulize tu hapoWengine hawapendi watoto wengi mm naona huyu singo maza Wangu wa miaka 21 katulia, muda mwingi anawaza mtoto wake
Yaani hapa umenifanya nisikitike vibaya mno yaani..Niambiye hapo๐คฃutamhudumia vipi mtoto mimi Nina wategemezi wanne ambao sio watoto wangu Yan ndugu upo
Ustawi wa jamii napo ni kichaka cha wahuni fulani tu hivi jobless, waviziaji wasiotaka kufanya uzalishaji kwenye taifaUlishawahi walau kutembelea ofisi za ustawi wa jamii? Tembelea siku moja au fanya tafiti utakuja niambia, unazani washauri wa ndoa huwa wanamshauri kujenga maghorofa ?
Mnajua lau mngekuwa wanaume huenda mngeelewa zaidiNdo hapo sasa au mwengine anachepuka na house girl. Mimi nawashangaaga wanaosema mwanamke hajui akitakacho.
Mindset zao hazipo sawa,, inabidi wabadili hiyo mitazamo Yao.
Basi ndo hamjui mnataka nini. Ungejua unataka nini usingechepuka.Mwanaume anajua anataka nini hapo,ni ishu moja tu hapo,anataka k basi imeisha hiyo
Mimi mpaka nilikuwa nafanyiwa yale mambo ya tanga,nawekewa kigoda bafuni naogeshwa na mambo yetu yale ya kisosi lkn nilifanya ujinga kwasababu ya k tu
Kwahiyo wanaume tunapotoka nje sio kwamba hatuwapendi wake zetu laa,ni ujinga wa kuendekeza kichwa cha chini
Kwahiyo tunajua tunataka nini
Yaani hapa umenifanya nisikitike vibaya mno yaani..
Pakada hebu tufanye mimi niwe mumeoHiyo ni hulka tu ya mtu, hata wanaume wapo kibao, mke anavulia yote lakini siku akikaa vizuri anamtosa huyo mwanamke!
Kuna mbaba alipata changamoto ya afya akaumwa sana mke akapambana mpaka akapata nafuu na kupona kumbuka hata ndugu walikuwa wanamnyanyapaa na kuulizana anaumwa nini! Mke hakujli alivyopona matusi Kwa mkewe nilikulazimisha unitunze yeye na ndugu zake wanamchangia mkewe na kumfukusa, je angemterekeza hospital mwezi mzima bado nyumbani! Kusema mwanamke hajui anachotaka sio sawa, mwanaume ndiye hajui mke anataka nini.
Wewe sema jitahidi mwaume usitabirike naweza nikakuelewa.Mnajua lau mngekuwa wanaume huenda mngeelewa zaidi
Ogopa mtu ambaye ameumbwa kuwinda,sasa sisi ni wawindaji na nyie mnawindwa
Muwindwaji hana ishu kama muwindaji hajaamua kuwinda,wawindaji tumeumbwa kutafuta mawindo mengi
Sio wote, hizi nyumba Zina Siri sana usione watu wanapita mtu na mkewe ukazani hawa wanaishi peponi.Ustawi wa jamii napo ni kichaka cha wahuni fulani tu hivi jobless, waviziaji wasiotaka kufanya uzalishaji kwenye taifa
Wakaamua waende pale kujifanya wanashupalia maisha ya watu wengine yaani wanacapitalize kwenye hisia za mwanamke badala ya kumwambia ukweli na kumjenga bali wanaandaa mkakati fulani hivi ili mwanamke aendelee kuwa malaya huku akiendelea kupata financial support kutoka kule alikoona hapafai..