Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

Pakada hebu tufanye mimi niwe mumeo
Niambie ile full package unayoitaka kutoka kwangu kuja kwako mke wangu
Maisha yako yote kwamba utaridhika
Twende hapo nakusubiri..
Ha ha ha ha ha usinivunje mbavu zangu, mie ni mwanamke nisiye na makuu kabisa amin hivyo
 
Basi ndo hamjui mnataka nini. Ungejua unataka nini usingechepuka.

Mke wa mabest hajui anataka Nini kwakua kaolewa na best pamoja na kuwa jamaa alihudumia mpka kufilisika Mali

Ila wewe umepewa vyote na ziada , mtu katumia nguvu kazi yake ya mwili na akili Kisha umechepuka halafu wewe ndo unajua unataka nini!?.

Au kwakua mmeegemea kwenye upande wa kipato , kwakua nyie mnatoa nguvu kazi ya pesa mnajua mkitakacho ila wanaotoa nguvu kazi ya mwili na akili na muda wao hawajui wakitakacho.

Angalia huo mtizamo wako kwa jicho lingine ang'avu zaidi.
Kifupi ni hivi mwanaume hajaumbwa kuwa na mwanamke mmoja tu,yan iko hivyo,hata ukiangalia historia ni mwalimu mzuri

Narudi pale pale mwanamke hawezi kumridhisha mwanaume kwa asilimia zote,ndio utasikia leo nimechoka au sijisikii vizuri,mara muingie katika ada zenu,mimba huwa zinawasumbua

Mwanaume ni sex machine lazima ataenda kuwinda tu kutokana na excuse zenu
 
Hiyo ni hulka tu ya mtu, hata wanaume wapo kibao, mke anavulia yote lakini siku akikaa vizuri anamtosa huyo mwanamke!

Kuna mbaba alipata changamoto ya afya akaumwa sana mke akapambana mpaka akapata nafuu na kupona kumbuka hata ndugu walikuwa wanamnyanyapaa na kuulizana anaumwa nini! Mke hakujli alivyopona matusi Kwa mkewe nilikulazimisha unitunze yeye na ndugu zake wanamchangia mkewe na kumfukusa, je angemterekeza hospital mwezi mzima bado nyumbani! Kusema mwanamke hajui anachotaka sio sawa, mwanaume ndiye hajui mke anataka nini.
Kabisa wao ndo hawajui wanataka nini kama vigezo vyao ni vya huduma, kama huduma wewe unatoa pesa mkeo anatoa muda wake nayo ni huduma pia.

Wote wanazingua wake kwa waume, lakini wakizingua wanawake hawajui wakitakacho ila wakizingua wanaume wao wanajua wakitakacho.

Ukishaona umezingua wewe pia hujui ukitakacho.
 
Kifupi ni hivi mwanaume hajaumbwa kuwa na mwanamke mmoja tu,yan iko hivyo,hata ukiangalia historia ni mwalimu mzuri

Narudi pale pale mwanamke hawezi kumridhisha mwanaume kwa asilimia zote,ndio utasikia leo nimechoka au sijisikii vizuri,mara muingie katika ada zenu,mimba huwa zinawasumbua

Mwanaume ni sex machine lazima ataenda kuwinda tu kutokana na excuse zenu
Nguvu zenyewe zipo wapi? Mke mmoja tu shida mpaka ktegeshea mlimani🤣🤣🤣 hao wanje kitu ganiha ha ha, ( ole wangu mie 😂😂)
 
Mwanamke nilie nae kwa sasa anajua kuwa sientertain excuse nje ya period days over.
Yaani akianza kusema tu sijui leo...
Kabla hajamaliza nishamuelekeza pa kuweka chupi..

Sitaki bargaining kitandani.
 
Kabisa wao ndo hawajui wanataka nini kama vigezo vyao ni vya huduma, kama huduma wewe unatoa pesa mkeo anatoa muda wake nayo ni huduma pia.

Wote wanazingua wake kwa waume, lakini wakizingua wanawake hawajui wakitakacho ila wakizingua wanaume wao wanajua wakitakacho.

Ukishaona umezingua wewe pia hujui ukitakacho.
Ukweli ndiyo huo yaani mwanaume anakuwa na cheo tu mwanaume lakini majukumu zero kisa kijusi tu mnfuuu
 
Nguvu zenyewe zipo wapi? Mke mmoja tu shida mpaka ktegeshea mlimani🤣🤣🤣 hao wanje kitu ganiha ha ha, ( ole wangu mie 😂😂)
Sio wote wako hivyo bwana,kuna wengine wako vizur tu mbona
 
Mwanamke nilie nae kwa sasa anajua kuwa sientertain excuse nje ya period days over.
Yaani akianza kusema tu sijui leo...
Kabla hajamaliza nishamuelekeza pa kuweka chupi..

Sitaki bargaining kitandani.
Mwamba umetisha sana ujue,ngoja vijana wachue maarifa kutoka kwako😂😂
 
Mwanaume akijua nini ya mwanaume Wala mwanamke hawezi mletea ujinga, umenichekesha eti nishamwerekeza 😀😀
 
Kifupi ni hivi mwanaume hajaumbwa kuwa na mwanamke mmoja tu,yan iko hivyo,hata ukiangalia historia ni mwalimu mzuri

Narudi pale pale mwanamke hawezi kumridhisha mwanaume kwa asilimia zote,ndio utasikia leo nimechoka au sijisikii vizuri,mara muingie katika ada zenu,mimba huwa zinawasumbua

Mwanaume ni sex machine lazima ataenda kuwinda tu kutokana na excuse zenu.
Sasa hoja ya Kusema mwanamke hajui akitakacho kisa kachepuka au kamuacha mtu wake na alipewa Kila kitu hiyo ni hulka binafsi kama ilivyo Kwa wanaume, anaweza akawa na wake na Bado ana vimada hata 10, usinambie wote wanampa visingizio!?.
 
Ukweli ndiyo huo yaani mwanaume anakuwa na cheo tu mwanaume lakini majukumu zero kisa kijusi tu mnfuuu
Sema mashine sio kijusi
Maana ule muda mnavyokuwa mnageuza macho juu kama mnaaga huwa hamsemi..
Nje ya mada lakini,,
Kuna jirani yangu ananikera sana tukianza show lazima aje anigongee mlango kisa kelele za mwanamke mwenzie yaani ananiondoleaga ile comfidence kabisa na mood ya show..
 
Sasa hata hao wanawake wanaochepuka kama alonae hamridhishi!? Akaona suluhu ni kuchepuka!?. Au wanaume woteee Huwa mnaweza kuridhisha wanawake!?. Wengine uwezo huo Hawana.

Sasa hoja ya Kusema mwanamke hajui akitakacho kisa kachepuka na amepewa Kila kitu na mumewe hiyo ni hulka binafsi kama ilivyo Kwa wanaume, anaweza akawa wake na Bado ana vimada hata 10, usinambie wote wanampa visingizio!?.
Ni waongo hakuna cha kila kitu, wenyewe chakila kitu ni misosi tu habari za mijigimijigi hakuna wanafunga mkanda nje tu nakufuga midevu tu uso mzima 😀😀
 
Sema mashine sio kijusi
Maana ule muda mnavyokuwa mnageuza macho juu kama mnaaga huwa hamsemi..
Nje ya mada lakini,,
Kuna jirani yangu ananikera sana tukianza show lazima aje anigongee mlango kisa kelele za mwanamke mwenzie yaani ananiondoleaga ile comfidence kabisa na mood ya show..
Siku moja toka bila nguo
 
Mwamba umetisha sana ujue,ngoja vijana wachue maarifa kutoka kwako😂😂
Ujinga nilikuwa nao kwenye mahusiano ya mwanzo lakini nilivyoona limeachana na kale kanyaturu nikasema haleluya,,
Wote wanaofuata ni kuwatengua kiuno tu sitaki ushkaji kitandani,,
Tukimaliza ndio aanze kuniambia ujue muda ule kidogo univunje?
Mi namjibu tu usiwaze utazoea tu..
 
Sema mashine sio kijusi
Maana ule muda mnavyokuwa mnageuza macho juu kama mnaaga huwa hamsemi..
Nje ya mada lakini,,
Kuna jirani yangu ananikera sana tukianza show lazima aje anigongee mlango kisa kelele za mwanamke mwenzie yaani ananiondoleaga ile comfidence kabisa na mood ya show..
Huu sasa ushamba!! Yaani mambo Yako ukere wengine hata Mimi nakugongea na kwa mjumbe nakupeleka.
 
Sasa hata hao wanawake wanaochepuka kama alonae hamridhishi!? Akaona suluhu ni kuchepuka!?. Au wanaume woteee Huwa mnaweza kuridhisha wanawake!?. Wengine uwezo huo Hawana.

Sasa hoja ya Kusema mwanamke hajui akitakacho kisa kachepuka na amepewa Kila kitu na mumewe hiyo ni hulka binafsi kama ilivyo Kwa wanaume, anaweza akawa wake na Bado ana vimada hata 10, usinambie wote wanampa visingizio!?.
Ngoja nirudie maelezo ya awali,dhana ya mwanamke kutojua anataka nini ipo hapa

Akipendwa sana anaona kero na kumuona mwanaume mdhaifu,asipopendwa pia ni shida

Akipewa mapenzi shatashata anana haitoshi anataka pesa,akipewa pesa anaona sio kitu anataka mapenzi

Ukiwa mwema kwake au kuwa nice guy anakuona dhaifu atamtaka mhuni,akiwa na mhuni atamtaka a nice guy

Ukitaka kumpelekea moto daily anakuona unataka sex sana,usipo mpiga bakora mara kwa mara anakuona huwezi kazi

Yani list ni ndefu,elewa kwa muktadha huu
 
Back
Top Bottom