Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

Kama hukumkuta bikra huyo siyo mkeo hata usipoeleweka vipi kaa ukijua huyo ni mke wa mtu ipo siku ataenda kwa waume zake kikubwa ni kuishi nae kama vile hauishi nae na kamwe usimuweke moyoni, kwa wale mliooa single maza nyie ni R.I.P kabisa
 
hayanaga muongozo
 
Hii naona imekaa zaidi kitamaduni,kwa maana utaratibu wa kurithishana,huenda kama mke hujampa mikofi na akisikia wenzake wanakula makofi anaona humpendi

Ni kama mademu wa mjini usipo mpa hela anaona humpendi
Ni kweli mkuu, huku mjini makofi ni pesa. Sasa naona kipigo hapo anapata mtoaji pesa
 
Kati ya ndugu zako tumbo moja na mke yupi ni zaidi mimi kwangu ndugu ni bora
Zamani nilikuwa na imani kali kuliko hii ya kwako na hakuna mtu aliyekuja kuniambia badilika.

Bali nature yenyewe tu ilinionesha uhalisia wa watu wangu..

Nimewahi kusota two years straight hakuna kuingiza hata buku kwa wiki..
But imagine nilibaki na watu wawili tu upande wangu na walikaa na mimi as if sisoti yaani..
1,, Mke wangu
2,, Mtoto wangu mdogo wa kiume.

Msoto ulipozidi na kuibuka majanga ambayo yalichukua uwezo na nguvu zangu pamoja na uhuru wangu alibaki mmoja tu upande wangu..
Na huyo si mwingine bali mtoto wangu wa kiume yaani Imagine mwanaume nimekamatwa na kufungwa mwanamke akaondoka siku ya hukumu
Mtoto wangu wa miaka mitatu akakataa kuondoka na mama yake akasema yeye atabaki nyumbani kumsubiri baba yake mpaka atakaporudi..
Na alibaki kweli akaishi kwa majirani mpaka siku ile ambayo baba yake niliachiwa huru
Unaweza kuimagine hicho kitu yaani..
 
Pole mkuu ila mimi ndugu ni zaidi aseeeh
 
Utajifunza kupitia njia ngumu kuwa ndugu zako ni wanao ambao unaogopa kuwaleta duniani huku ukihudumia watoto wa baba yako..
Yaani wewe unajitwisha majukumu ya baba yako halafu unaona ni sawa tu..
Mzee wangu alishajitoa kuhudumia ikabidi nikomae tu
 
tunasoma nyuzi kama hiz huku tunatabasamu tu,,huku nje mnajiachia sana kwetu,,,eg mamaa kesho napokea million 2 nishaur nifanyie nin..........
 
Achana na mambo ya hizo code ni hivi ukijuwa kuongea ni rahisi kumbadilisha mwanamke mawazo afu hakunaga mkate mgumu mbele ya chai
 
Umetelekeza watoto wangapi kaka kipato. Changu kidogo 30k per day mtoto ATAISHI vipi sina bima, wala pension
30k per day means 900k per month, mishahara ya watu hii Baada ya kukatwa Kodi.

Kuna jobless mmoja Nampa 200k na ame oa.Jitafakari mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…