The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Amani iwe kwenu!
Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love...
Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala hamaindishi mashori, basi ujue huyo man yuko bize balaa na shughuli zake, yaani he is really work hard like NEWTON au billigate wala hana time na wewe mwanamke yaani hata 4G haisomi network, jogoo hapandi mtungi....n.k
Na kinyume chake ni kweli mwanamke mzuri sio wa pekee yako mzee, analika na kila mtu kikubwa utulize wenge ule....