Mwanaume mwenye pesa si wa peke yako wewe mwanamke

Mwanaume mwenye pesa si wa peke yako wewe mwanamke

Huko mbali sana. Mli 2 kila mtu ni pesa nyingi kwenye mahusiano. Wanawake wepesi sana kuridhika. Akiweza kujinunulia wigi, kulipia pango na kununua lotion kwa kila mwezi hakamatiki
Okey, Kiburi kinaanzia kipato cha m2? Basi wanatofautiana. Mm nawafahamu baadhi ambao wanajimudu na still hawana kiburi.
 
Mwanamke kama huishi naye Kama mkeo huwezi kusema unamjua. Wewe unamfahamu tu.

Unachokiona ni fake personality yake. Anayejua rangi halisi ni mumewe.
Si kweli. Wengine wameshuhudia mama zao na baba zao na wakashuhudia wake zao wakiwa na fedha bila kiburi.

Nadhani kiburi ni tabia inayofichuka unapopata nguvu. Hata wanaume tunapopata pesa tunatofautiana, mwingine anachanganyikiwa anataka kuoa mpaka wake za rafiki zake.
 
Okey, Kiburi kinaanzia kipato cha m2? Basi wanatofautiana. Mm nawafahamu baadhi ambao wanajimudu na still hawana kiburi.
Hapo ujue mwanaume anaingiza mili 5 kwenda juu. Lkn vipato vikifanana haiwezekani
 
Hapo ujue mwanaume anaingiza mili 5 kwenda juu. Lkn vipato vikifanana haiwezekani
Inaweza kuwa ila si nyakati zote. Kuna watu wanaishi vzr tu na mke ana mshahara mkubwa. Hata kama mke ni mchoyo na mume ana 2m, na 5m anayo mke huku 2m ya mume ndo inaendesha familia wala hakuna tatizo unless ameoa tu mwanamke mwenye matatizo.
 
Equations za Mungu hizi hapa;-
1. Wenye pesa wana kisukari, hawana nguvu za kiume na hawana muda wa kusaka mbususu.
2. Walalahoi wana nguvu za kiume, wana muda mwingi lkn kifanyio (pesa) hawana.

Mungu hakupi vyote wala hakunyimi vyote
kwa hiyo wafanya biashara wakubwa na wakati walioko vitengo muhimu hamna kitu??hzi data ni za hapa bongo au ulimwenguni??
 
kwa hiyo wafanya biashara wakubwa na wakati walioko vitengo muhimu hamna kitu??hzi data ni za hapa bongo au ulimwenguni??
Huko mbele mifumo ni rafiki, ukisoma, ukijua kuimba, kuchekesha , kucheza mpira, kufanya biashara, n.k unatoboa. Hapa kwetu mtu akiwa na hela unakuta kapitia mazito yaliyopelekea kupata kitambi, kupoteza nguvu za kiume, kupata kisukari ama kukosa muda
 
kwahiyo kumbe main topic ni afya ??
 
Ufukala ni kitu kibaya.
Kwa maana iyo masikini ndio mwenye True love?.
Aaah wapi hawana lolote...Nyie ila kuchitiwa na Mwanamme asiye na kipato inaumiza Sana roho😄😄
 
Point of correction bill gates is financially freee sio workworm kama newton ila message ni kweli
Sawa mkuu sikupingi kaka, ila kichwa cha billigate kina mambo mengi pia ingawa mkwanja una flow.
 
Ufukala ni kitu kibaya.
Kwa maana iyo masikini ndio mwenye True love?.
Maskini anajitafuta balaa kama Yesu wa nazareth, maskini humwagilia penzi ila tajiri hana huo muda kabisa..
 
Aaah wapi hawana lolote...Nyie ila kuchitiwa na Mwanamme asiye na kipato inaumiza Sana roho😄😄
Kwa hiyo billionea akikucheat roho kwatu kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom