The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
- Thread starter
- #41
Tunacheza na mizani mkuu, ile ya wengi wanaelemea wapi, kwako kuna asilimia chache.kwahiyo unataka kusema kila mwanaume ni malaya?? hamna wanaojiheshimu au wanaojiheshimu unataka kusema ni hanithi kwa upande wa wanawake wazuri wote ni malaya hawapo wanaojiheshimu fact zako hazina mashiko umalaya ni tabia hata uwe huna pesa utauza hata kiwanja kisa mademu na mwanamke hata kama hana mvuto anapigwa miti kama kawa
Tukisema china inaongoza kwa corona siyo kwamba china kila mmoja ana corona ila tu wengi wao.
Majority law.