Point of correction bill gates is financially freee sio workworm kama newton ila message ni kweliAmani iwe kwenu!
Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love...
Na siku zote ukiona mwanaume hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala hamaindishi mashori, basi ujue huyo man yuko bize balaa na shughuli zake, yaani he is really work hard like NEWTON au billigate wala hana time na wewe mwanamke yaani hata 4G haisomi network, jogoo hapandi mtungi....n.k
Na kinyume chake ni kweli mwanamke mzuri sio wa pekee yako mzee, analika na kila mtu kikubwa utulize wenge ule....
kwahiyo unataka kusema kila mwanaume ni malaya?? hamna wanaojiheshimu au wanaojiheshimu unataka kusema ni hanithi kwa upande wa wanawake wazuri wote ni malaya hawapo wanaojiheshimu fact zako hazina mashiko umalaya ni tabia hata uwe huna pesa utauza hata kiwanja kisa mademu na mwanamke hata kama hana mvuto anapigwa miti kama kawaAmani iwe kwenu!
Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love...
Na siku zote ukiona mwanaume hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala hamaindishi mashori, basi ujue huyo man yuko bize balaa na shughuli zake, yaani he is really work hard like NEWTON au billigate wala hana time na wewe mwanamke yaani hata 4G haisomi network, jogoo hapandi mtungi....n.k
Na kinyume chake ni kweli mwanamke mzuri sio wa pekee yako mzee, analika na kila mtu kikubwa utulize wenge ule....
Pesa mingiiiii😅😅😅maneno kidogooo
@Shimba ya Buyenze Mshana Jr hebu tupeni ushauri mzuri vijanAAmani iwe kwenu!
Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love...
Na siku zote ukiona mwanaume hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala hamaindishi mashori, basi ujue huyo man yuko bize balaa na shughuli zake, yaani he is really work hard like NEWTON au billigate wala hana time na wewe mwanamke yaani hata 4G haisomi network, jogoo hapandi mtungi....n.k
Na kinyume chake ni kweli mwanamke mzuri sio wa pekee yako mzee, analika na kila mtu kikubwa utulize wenge ule....
Usikariri sio wote wenye pesa wana kisukari na pressure labda hapo kwenye kusaka mbususu ndo hawapo vizuri ila si wote wenye afya mbovu utashangazwa mkuuEquations za Mungu hizi hapa;-
1. Wenye pesa wana kisukari, hawana nguvu za kiume na hawana muda wa kusaka mbususu.
2. Walalahoi wana nguvu za kiume, wana muda mwingi lkn kifanyio (pesa) hawana.
Mungu hakupi vyote wala hakunyimi vyote
Yaani hawezi kukwepa Mambo yote hayo kwa pamoja. Kama hana kisukari atakuwa hana nguvu, Kama ana nguvu atakuwa hana mudaUsikariri sio wote wenye pesa wana kisukari na pressure labda hapo kwenye kusaka mbususu ndo hawapo vizuri ila si wote wenye afya mbovu utashangazwa mkuu
Fahari wawili hawakai zizi moja.Na mwanamke mwenye pesa?
Vp kuhusu wote wakiwa na pesa wakawa pamoja? Mahusiano hayapo fixed, yananyumbulika kutegemeana na factors nyingi.
Hivi pesa nyingi ni kiasi gani? Mfano mke anapokea 4.5m na mume 3.8m hawa wana pesa nyingi? Nataka nijue kiburi kinaanzia tsh ngapi.Fahari wawili hawakai zizi moja.
Pesa = kiburi/jeuri.
Sasa viburi viwili haviishi pamoja
Huko mbali sana. Mli 2 kila mtu ni pesa nyingi kwenye mahusiano. Wanawake wepesi sana kuridhika. Akiweza kujinunulia wigi, kulipia pango na kununua lotion kwa kila mwezi hakamatikiHivi pesa nyingi ni kiasi gani? Mfano mke anapokea 4.5m na mume 3.8m hawa wana pesa nyingi? Nataka nijue kiburi kinaanzia tsh ngapi.
Kwenye muda sawa nakubali ila hivyo vingine sio constant hapo nakataaYaani hawezi kukwepa Mambo yote hayo kwa pamoja. Kama hana kisukari atakuwa hana nguvu, Kama ana nguvu atakuwa hana muda