Tunacheza na mizani mkuu, ile ya wengi wanaelemea wapi, kwako kuna asilimia chache.kwahiyo unataka kusema kila mwanaume ni malaya?? hamna wanaojiheshimu au wanaojiheshimu unataka kusema ni hanithi kwa upande wa wanawake wazuri wote ni malaya hawapo wanaojiheshimu fact zako hazina mashiko umalaya ni tabia hata uwe huna pesa utauza hata kiwanja kisa mademu na mwanamke hata kama hana mvuto anapigwa miti kama kawa
HapanaKwa hiyo kwa ufupi ni kwamba wanawake mnapenda kushare de liboloz na wanaume wanaoenda kushare de mbususu
wakikujibu nitag please.Hivi pesa nyingi ni kiasi gani? Mfano mke anapokea 4.5m na mume 3.8m hawa wana pesa nyingi? Nataka nijue kiburi kinaanzia tsh ngapi.
Sji mnasema muwa tutafute pesa na mnatukataa tusio napesa na wenye pesa wanakuwa na warembo wengi wakiwapea mbususuHapana
Haya mambo yanategemea na mazingira na eneoMasikini hana haki
Tofautisha kuchetiwa na Mo Dewji na Mansantula!!akikucheat bilionea akianza kuomba msamaha we Kuna vitu utafaidi Huyo Mansantula Sasa atakuboa🤣Kwa hiyo billionea akikucheat roho kwatu kabisa 🤣🤣🤣🤣
Kumbe issue ni unafaidi niniTofautisha kuchetiwa na Mo Dewji na Mansantula!!akikucheat bilionea akianza kuomba msamaha we Kuna vitu utafaidi Huyo Mansantula Sasa atakuboa🤣
Hao umetaja wenye pesa walafi , ndio wanakuwa na hayo magonjwa , Kiriba tumbo ,kisuraki na pressure kama sio vya kurithi kuwa na hiv vtu ata kama unapesa wewe ni maskini wa akili.Equations za Mungu hizi hapa;-
1. Wenye pesa wana kisukari, hawana nguvu za kiume na hawana muda wa kusaka mbususu.
2. Walalahoi wana nguvu za kiume, wana muda mwingi lkn kifanyio (pesa) hawana.
Mungu hakupi vyote wala hakunyimi vyote
Hahah😄😄😄 pisi wana shoboka.