Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Gentleman-Singular
Gentlemen-Plural
Ukiamua kuchanganya lugha mbili hakikisha unazijua zote
Gentlemen-Plural
Ukiamua kuchanganya lugha mbili hakikisha unazijua zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una nyumba?Gentleman-Singular
Gentlemen-Plural
Ukiamua kuchanganya lugha mbili hakikisha unazijua zote
Sio moja. Nina miliki wapangaji kama wew wakutosha tu lakini nina waheshimu maana hata mimi niliwahi kuwa mpangajiUna nyumba?
Kwa ninavyomuona hawezi kukusamehe mpaka urudi Kibaigwa ukanunue heka moja ya laki tatu ujenge kibanda cha miti, ili na wewe uwe na kwako.Ndio mkuu niko nimepanga hapa doyers newyork Nalipia dola 6000$
Nisamehe mimi mkuu najipanga bado
Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii [emoji1] anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?
Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
Wewe nae majigambo kibao lakini hakuna kitu.No offence, ila ni personal opinion
kukimbilia kujenga kinyumba kidogo unakaa kwenye pagale ni uoga wa maisha, jenga nyumba ya 500m yes..ila siyo kutupigia kelele unakaa kwako kiwanja chenyewe polini umenunua laki 6, nyumba mil 10..usafiri kufika kwako masaa 4 utafikiri unaenda mkoani..acha nilipe kodi laki 3 lakini naishi town vizuri akili inachangamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana naishi kwa shemeji...
Hapa nipo nagombania rimonti na wapwa...
waliojenga waogaWewe ni mshamba tu mkuu basi tu
kijana hujui kesho yakoKiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama