Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Yaani wapemba wa JF mna matatizo Kama yule nduguyo Chizi Maarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada tema mate chini. Nyie mnaotolewa kwa wazazi wenu kisha wanaume wakawajengea nyumba mkahamia huwa hamjui maisha. Kuna dogo mmoja shoga naye alijengewa nyumba na mwarabu basi anaongea sana kuhusu watu kutojenga kabla.Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii 😄 anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?
Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
Bila shaka sura yko ina wrinklesYaani wapemba wa JF mna matatizo Kama yule nduguyo Chizi Maarifa
Ulipotea vp ulifungiwa ndani na msukuma?waliojenga waoga
Ur right!maana Mimi si Vampire ni bin AdamBila shaka sura yko ina wrinkles
Nlikua najiuliza sana, hivi watu wanaopenda kuishi kwa kubanana kwenye kota huwa inakuwaje? Kumbe ndo baadhi yenu ni sampuli hii. Kwahiyo shida sio nyumba shida ni mtu anunue ya NHC🤣 pa kubanana pale hata siku umegombana na mkeo/mmeo basi flat nzima inajua.Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii 😄 anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?
Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
IndeedUr right!maana Mimi si Vampire ni bin Adam
wewe ni mjinga halafu hujui maisha. binafsi nina nyumba tatu, lakini hapa nilipo naishi nyumba ya kupanga. hii ni kwasababu nimehamia kuanza kuishi kwenye mkoa ambako sijajenga. au wewe unapohama hata mkoa huwa unahama na jengo? usione watu wamepanga ukawadharau, wengine huko walikotoka wana wapangaji.Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii 😄 anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?
Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
Anatafuta ligi huyu..😂😂Lengo lako watu wazima tutukane mchana mchana utuone tunafanana na wewe akili
No offence, ila ni personal opinion
kukimbilia kujenga kinyumba kidogo unakaa kwenye pagale ni uoga wa maisha, jenga nyumba ya 500m yes..ila siyo kutupigia kelele unakaa kwako kiwanja chenyewe polini umenunua laki 6, nyumba mil 10..usafiri kufika kwako masaa 4 utafikiri unaenda mkoani..acha nilipe kodi laki 3 lakini naishi town vizuri akili inachangamka
Wewe nae majigambo kibao lakini hakuna kitu.
Kodi ya laki 3 town wapi?
Halafu tunatofautiana kipato, elimu, dini hata makuzi.
Mwingine kapata million 5 akaona atafute kiwanja porini cha laki 6 ajenge pagale lake ahamie sababu anajua kuwa hawezi kuipata tena hiyo hela na atadhalilika na kufedheheshwa kwenye majumba ya watu.
Inahitaji ujasiri sana kujenga porini na kuishi kwenye pagale.
Tuwaheshimu jamani.
Wewe subiri hizo million 500 ujenge nyumba yako.
Ila naomba unijibu nyumba ya laki 3 mjini wapi?
ukipata safari unajifikiria mara mbilimbili namna ya kutoka kwakoNo offence, ila ni personal opinion
kukimbilia kujenga kinyumba kidogo unakaa kwenye pagale ni uoga wa maisha, jenga nyumba ya 500m yes..ila siyo kutupigia kelele unakaa kwako kiwanja chenyewe polini umenunua laki 6, nyumba mil 10..usafiri kufika kwako masaa 4 utafikiri unaenda mkoani..acha nilipe kodi laki 3 lakini naishi town vizuri akili inachangamka
Mkuu mbona zipo nyingi tu kwa darWewe nae majigambo kibao lakini hakuna kitu.
Kodi ya laki 3 town wapi?
Halafu tunatofautiana kipato, elimu, dini hata makuzi.
Mwingine kapata million 5 akaona atafute kiwanja porini cha laki 6 ajenge pagale lake ahamie sababu anajua kuwa hawezi kuipata tena hiyo hela na atadhalilika na kufedheheshwa kwenye majumba ya watu.
Inahitaji ujasiri sana kujenga porini na kuishi kwenye pagale.
Tuwaheshimu jamani.
Wewe subiri hizo million 500 ujenge nyumba yako.
Ila naomba unijibu nyumba ya laki 3 mjini wapi?
Hivi una akili kweli?Umeolewa?Mnazidiana miaka mingapi na mwenza wako?Una wazazi?Umewahi kujiuliza kwa nini wamekuzaa?Unaishi wapi?Una uhakika unazo akili zifanyazo kazi vema?Apia!Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii 😄 anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?
Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
una stress wewe.Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii 😄 anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?
Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
😀😀Hata Yesu hakuwa na nyumba