Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama

Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii 😄 anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?

Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.

Kamshauri kwanza Elon Musk tajiri namba tatu duniani kwanini Hana nyumba.
 
Kujenga tunajenga sisi tusiokua na uhakika wa maisha, mtu anaweza kuwa na million 200 leo, lkn akipika hesabu hajua kama atawahi pata nyingine...kuwa safe na future anaamua kujenga....

Mtu hana uhakika kama watoto wake watapata ajira au watakuwa na maisha mbeleni- anajenga ili wawe na kwao...hakuna uhakika wa cash

Watu wanaiba, magumashi mengi...hawajui kama watapata nafasi hizo tena, kuwa safe na kupunguza matatizo ya mbeleni anaamua kujenga....

Waajiriwa-Government na Serikali- mtu akipiga mahesabu ya kustaafu au akipunguzwa kazi...anaona bora ajenge...ili kupunguz potential matatizo....

HIVYO TUNAKIMBILIA KUJENGA SABABU HATUNA UHAKIKA WA KESHO- NO CASH INAYOELEWEKA...

Nenda Masaki nimekuta wahindi wanapanga kwenye apartments mwaka wa 20...yaani wamezalia watoto hapo mpaka watoto nao wanajitegemea....Wanalipa tu 2.5 M kila mwezi, tena wakiamua wanalipa mwaka mwaka...

Kuna watu walijenga majumba, mikocheni, masaki, oysterbay huko, upanga....Sasa hivi wameyakimbia wanapangisha watu wenye liquidity na cash wapate kipato...wenyewe wanarudi mbezi beach huku..wengine nje ya mji huko..

Nimeona dada Mweusi kaolewa na Bwna wa Kizungu...Wana uza vifaa vya bomba, mashine etc...wamekaa sehemu mwaka wa 12....fully furnished property..kulipa kodi ni kama kununua kilo ya nyama....na hawana hata kiwanja na hawana presha ya maisha kabisaaa...

Hapo ndipo nilijifunza watu wenye uhakika wa kipato wanaulimwengu wao mwingine kabisa...wakati wewe unawaza kujenga kinyumba chako kwa kuungaunga..wao wanawaza vitu tofauti kabisa....
Na wakijenga wanajenga kweli nyumba....sio hizi sukuma wiki zetu..

Pia nimegundua..kwa miji mikubwa mfano DSM..Kuna wenye nyumba wengi ni maskini kuliko hata wapangaji wao....Na ndo maana mtu akichelewa mwezi tu..hali tete......

Nimefurahi juzi Rais Mama Samia katusii vijana tutengeneze uhakika wa vipato continuously na sio kutegemea mishindo ambayo haina mizizi...

MTOA MADA KIKUBWA NI KUWA NA UHAKIKA WA KIPATO CHA MIAKA....Waafrika tunakimbilia kujenga kwa sababu ya umaskini na kutokuwekeza kwenye future inayoeleweka..achana na hayo mawazo mgando..kama unawatoto watengenezee channel za mifereji ya pesa, waambie watafute pesa kwa haki...usiwaambie masuala ya kujenga..mwisho wa siku utagundua kumbe PESA ndo JIBU LA MAMBO YOTE...

Ronaldo Saudia Pale kapanga five star hotel..milllions of money...

TUTAFUTE KUWA NA CASH AND LIQUID ASSETS..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kama hatoelewa kwenye hili jibu basi ana matatizo
 
Ahahah we nawe yaan unauliza nyumba ya laki tatu kwa mwezi[emoji23][emoji23] nenda hata segerea utazipata inaonesha unalipaga 35k kwa mwezi
Segerea siyo town na hakujawahi kuwa town.
Hapa mjini dar town kunajulikana.
Na town hakuna nyumba ya laki 3 kwa mwezi labda boys courter...
Ndo maana nikamuuliza mjini wapi kodi laki 3?
 
Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama

Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii [emoji1] anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?

Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
Mbumbumbu kaingia jamiiforums. Uchumi wa hii Nchi wanauendesha Wafanyabiashara wa Kariakoo na Posta na Wengi ni Wapangaji NHC Kuanzia Ofisi mpaka Makazi.
 
Umepaka sana, ila nia yako ni kushauri watu wajitahidi angalau wawe na makazi yao. Najua kupanga ni utumwa ndio maana ukawa mkali.
 
Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama

Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii [emoji1] anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?

Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
kwani anae ishi nyumba ya kupanga asinzii usiku[emoji13][emoji33][emoji12]
 
Mkuu wewe hyo nyumba ulizaliwa nayo? Kuna vitu vingine kama mwanaume anaejua maisha kuongea ni aibu sana
 
Kuna rafki yangu alikopa 45m ikaingia katika akaunti.

Akaja kwangu kuomba ushauri wa kujenga!
Nikamwambia zalisha hiyo hela walau mwaka mmoja tu kisha faida uanzie kujenga.
Nikamdokeza kujenga ni jambo la msingi lakin ni tamaduni ipo kwetu Tanzania kwamba ili ufiche umasikini ni ujenge, ili uonekane mwanaume uwe umejenga kibaya zaidi hao tunaowaita wake zetu hawajui chochote katika maisha tofauti na kuishi ndani ya nyumba zilizojemgwa na mwanaume (fuatilia wengi waliojenga na pressure ya mwanamke).
Akahisi nampigia kelele tu, chap wachora raman, chap mafundi wanatolewa mikoani.
Nyumba ikakimbia ikapigwa bati nasikia anakema ee! Ee!
Nikauliza nn umechomwa msumari, jibu lake hapana, haya nini shida? Niazime lak 2 familia ikale [emoji3][emoji3]

Anyway kuna cycle ya umasikin ili uzunguke nje ya huo mduara ni pamoja na kuachana na hizi perception zinazotuzunguka.

N.B Najenga ila sijamaliza na nyumba itakuwa kali kuliko waliotangulia kwa kelele kama za huyu mleta mada ila natumia faida ya biashara, huku mji kule biashara zinasonga.
 
Kujenga tunajenga sisi tusiokua na uhakika wa maisha, mtu anaweza kuwa na million 200 leo, lkn akipika hesabu hajua kama atawahi pata nyingine...kuwa safe na future anaamua kujenga....

Mtu hana uhakika kama watoto wake watapata ajira au watakuwa na maisha mbeleni- anajenga ili wawe na kwao...hakuna uhakika wa cash

Watu wanaiba, magumashi mengi...hawajui kama watapata nafasi hizo tena, kuwa safe na kupunguza matatizo ya mbeleni anaamua kujenga....

Waajiriwa-Government na Serikali- mtu akipiga mahesabu ya kustaafu au akipunguzwa kazi...anaona bora ajenge...ili kupunguz potential matatizo....

HIVYO TUNAKIMBILIA KUJENGA SABABU HATUNA UHAKIKA WA KESHO- NO CASH INAYOELEWEKA...

Nenda Masaki nimekuta wahindi wanapanga kwenye apartments mwaka wa 20...yaani wamezalia watoto hapo mpaka watoto nao wanajitegemea....Wanalipa tu 2.5 M kila mwezi, tena wakiamua wanalipa mwaka mwaka...

Kuna watu walijenga majumba, mikocheni, masaki, oysterbay huko, upanga....Sasa hivi wameyakimbia wanapangisha watu wenye liquidity na cash wapate kipato...wenyewe wanarudi mbezi beach huku..wengine nje ya mji huko..

Nimeona dada Mweusi kaolewa na Bwna wa Kizungu...Wana uza vifaa vya bomba, mashine etc...wamekaa sehemu mwaka wa 12....fully furnished property..kulipa kodi ni kama kununua kilo ya nyama....na hawana hata kiwanja na hawana presha ya maisha kabisaaa...

Hapo ndipo nilijifunza watu wenye uhakika wa kipato wanaulimwengu wao mwingine kabisa...wakati wewe unawaza kujenga kinyumba chako kwa kuungaunga..wao wanawaza vitu tofauti kabisa....
Na wakijenga wanajenga kweli nyumba....sio hizi sukuma wiki zetu..

Pia nimegundua..kwa miji mikubwa mfano DSM..Kuna wenye nyumba wengi ni maskini kuliko hata wapangaji wao....Na ndo maana mtu akichelewa mwezi tu..hali tete......

Nimefurahi juzi Rais Mama Samia katusii vijana tutengeneze uhakika wa vipato continuously na sio kutegemea mishindo ambayo haina mizizi...

MTOA MADA KIKUBWA NI KUWA NA UHAKIKA WA KIPATO CHA MIAKA....Waafrika tunakimbilia kujenga kwa sababu ya umaskini na kutokuwekeza kwenye future inayoeleweka..achana na hayo mawazo mgando..kama unawatoto watengenezee channel za mifereji ya pesa, waambie watafute pesa kwa haki...usiwaambie masuala ya kujenga..mwisho wa siku utagundua kumbe PESA ndo JIBU LA MAMBO YOTE...

Ronaldo Saudia Pale kapanga five star hotel..milllions of money...

TUTAFUTE KUWA NA CASH AND LIQUID ASSETS..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app

Mbona kila mfano kuhusu kujenga mnatolea mfano wahindi?,kwani wahindi hapa Tanzania ni kwao?,ina maana wewe ukienda kutafuta maisha Sudan utakimbilia kujenga huko Sudan?
 
Kuna wahindi hapa ni kwao....na kwa ushahidi zaidi hata hizo nyumba za NHC walijenga wahindi haohao..Nyerere kataifisha....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama

Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za kupanga anahama nyumba hii 😄 anaenda nyumba yeye miaka yake yote anaishia kwenye nyumba miaka hebu badilikeni bwana nyumba national housing zinauzwa kwa bei rahisi halafu wewe unajihangaisha na nyumba za kupanga kweli wewe ni mwanaume? Au mdada mwenye muonekano wa kiume?

Kuishi kwenye za kupanga huo ni umama yaani kiukweli mimi nikimuona au nikijua mwanaume anaishi nyumba za nyumba namuhisi akili zake hazipo sawa au ni mdada mwenye muonekano wa kiume.
Masikini akipata........
Hapo sasa akuoneshe kinyumba alichojenga utaishia kumhurumia,maana wengi wa hivi wenye vimaneno wanaishiaga kujenga single room anakwambia ameinua upande mmoja kwanza ili ahamie. Kiufupi ni wazee wa kuungaunga
 
Kujenga tunajenga sisi tusiokua na uhakika wa maisha, mtu anaweza kuwa na million 200 leo, lkn akipika hesabu hajua kama atawahi pata nyingine...kuwa safe na future anaamua kujenga....

Mtu hana uhakika kama watoto wake watapata ajira au watakuwa na maisha mbeleni- anajenga ili wawe na kwao...hakuna uhakika wa cash

Watu wanaiba, magumashi mengi...hawajui kama watapata nafasi hizo tena, kuwa safe na kupunguza matatizo ya mbeleni anaamua kujenga....

Waajiriwa-Government na Serikali- mtu akipiga mahesabu ya kustaafu au akipunguzwa kazi...anaona bora ajenge...ili kupunguz potential matatizo....

HIVYO TUNAKIMBILIA KUJENGA SABABU HATUNA UHAKIKA WA KESHO- NO CASH INAYOELEWEKA...

Nenda Masaki nimekuta wahindi wanapanga kwenye apartments mwaka wa 20...yaani wamezalia watoto hapo mpaka watoto nao wanajitegemea....Wanalipa tu 2.5 M kila mwezi, tena wakiamua wanalipa mwaka mwaka...

Kuna watu walijenga majumba, mikocheni, masaki, oysterbay huko, upanga....Sasa hivi wameyakimbia wanapangisha watu wenye liquidity na cash wapate kipato...wenyewe wanarudi mbezi beach huku..wengine nje ya mji huko..

Nimeona dada Mweusi kaolewa na Bwna wa Kizungu...Wana uza vifaa vya bomba, mashine etc...wamekaa sehemu mwaka wa 12....fully furnished property..kulipa kodi ni kama kununua kilo ya nyama....na hawana hata kiwanja na hawana presha ya maisha kabisaaa...

Hapo ndipo nilijifunza watu wenye uhakika wa kipato wanaulimwengu wao mwingine kabisa...wakati wewe unawaza kujenga kinyumba chako kwa kuungaunga..wao wanawaza vitu tofauti kabisa....
Na wakijenga wanajenga kweli nyumba....sio hizi sukuma wiki zetu..

Pia nimegundua..kwa miji mikubwa mfano DSM..Kuna wenye nyumba wengi ni maskini kuliko hata wapangaji wao....Na ndo maana mtu akichelewa mwezi tu..hali tete......

Nimefurahi juzi Rais Mama Samia katusii vijana tutengeneze uhakika wa vipato continuously na sio kutegemea mishindo ambayo haina mizizi...

MTOA MADA KIKUBWA NI KUWA NA UHAKIKA WA KIPATO CHA MIAKA....Waafrika tunakimbilia kujenga kwa sababu ya umaskini na kutokuwekeza kwenye future inayoeleweka..achana na hayo mawazo mgando..kama unawatoto watengenezee channel za mifereji ya pesa, waambie watafute pesa kwa haki...usiwaambie masuala ya kujenga..mwisho wa siku utagundua kumbe PESA ndo JIBU LA MAMBO YOTE...

Ronaldo Saudia Pale kapanga five star hotel..milllions of money...

TUTAFUTE KUWA NA CASH AND LIQUID ASSETS..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
amka kijana usije kujikojolea, usifananishe 1st world countries na bongo, Mark Zuck, Buffet na wengineo hawana uhakika wa kesho? mbona wanamiliki mijengo.Kibongobongo kujenga ni muhimu kwa sababu bado tuna ardhi ya kutosha, tofauti na wenzetu.

Kibongo bongo wengi wenye pesa wamejenga.
 
Back
Top Bottom