Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

No offence, ila ni personal opinion
kukimbilia kujenga kinyumba kidogo unakaa kwenye pagale ni uoga wa maisha, jenga nyumba ya 500m yes..ila siyo kutupigia kelele unakaa kwako kiwanja chenyewe polini umenunua laki 6, nyumba mil 10..usafiri kufika kwako masaa 4 utafikiri unaenda mkoani..acha nilipe kodi laki 3 lakini naishi town vizuri akili inachangamka
 
 
Wewe nae majigambo kibao lakini hakuna kitu.
Kodi ya laki 3 town wapi?
Halafu tunatofautiana kipato, elimu, dini hata makuzi.
Mwingine kapata million 5 akaona atafute kiwanja porini cha laki 6 ajenge pagale lake ahamie sababu anajua kuwa hawezi kuipata tena hiyo hela na atadhalilika na kufedheheshwa kwenye majumba ya watu.
Inahitaji ujasiri sana kujenga porini na kuishi kwenye pagale.
Tuwaheshimu jamani.
Wewe subiri hizo million 500 ujenge nyumba yako.
Ila naomba unijibu nyumba ya laki 3 mjini wapi?
 
Lumumbashi hivi unasahau kuwa land is fixed and limted in supply?
Unadhani wanaume wote wakijenga itatoshea?
Au unafikiri ardhi inaongezeka sambamba na ongezeko la wanaume duniani?
 
Tutajenga baadae kwa sasa tunazaa kwanza
 
Mleta Mada libabako halikuwa na Nyumba! ndo maana umejenga wewe!! ishi kwenu km babako kidume!! huko Duniani unaenda emea tu!! lkn mrejeo kwenu huwezi tembea na nyumba ya Babako mgongoni!
 
kijana hujui kesho yako
Sio kwamba hatutaki kuwa na nyumba zetu
 
Nimepanga lakini nimepangisha wapangaji kwenye nyumba zangu mbili.
Mpaka hapo mtoa mada unaniweka kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…