Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

Dada tema mate chini. Nyie mnaotolewa kwa wazazi wenu kisha wanaume wakawajengea nyumba mkahamia huwa hamjui maisha. Kuna dogo mmoja shoga naye alijengewa nyumba na mwarabu basi anaongea sana kuhusu watu kutojenga kabla.
 
Nlikua najiuliza sana, hivi watu wanaopenda kuishi kwa kubanana kwenye kota huwa inakuwaje? Kumbe ndo baadhi yenu ni sampuli hii. Kwahiyo shida sio nyumba shida ni mtu anunue ya NHC🀣 pa kubanana pale hata siku umegombana na mkeo/mmeo basi flat nzima inajua.
 
wewe ni mjinga halafu hujui maisha. binafsi nina nyumba tatu, lakini hapa nilipo naishi nyumba ya kupanga. hii ni kwasababu nimehamia kuanza kuishi kwenye mkoa ambako sijajenga. au wewe unapohama hata mkoa huwa unahama na jengo? usione watu wamepanga ukawadharau, wengine huko walikotoka wana wapangaji.
 
Kwann unajenga
1.kukimbia kodi kwakua kipatohakitoshi kufanya yote kwa pamoja.
2.nikifa mimi wanaonitegemea hawatakua na hatapakuanzia bora nijenge.
3.wenzangu wamejenga nami nifanye hivyo..
4...blaaaa blaaaa blaa
5.nyumba umejenga kwa muda gani. ..10yrs what's.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et masaa manne
 

Ahahah we nawe yaan unauliza nyumba ya laki tatu kwa mwezi[emoji23][emoji23] nenda hata segerea utazipata inaonesha unalipaga 35k kwa mwezi
 
ukipata safari unajifikiria mara mbilimbili namna ya kutoka kwako
 
Maisha bn! Kuna walioanza na nyumba wakamaliza kwa kupanga, na kuna walioanza kwa kupanga wakamaliza na nyumba.

Don't blame someone kwa kukosa kile wewe ulibahatisha, kwani bahati ni baraka na baraka hutembea na wakati mwingine huhama. Take that!
 
Mkuu mbona zipo nyingi tu kwa dar
 
Hivi una akili kweli?Umeolewa?Mnazidiana miaka mingapi na mwenza wako?Una wazazi?Umewahi kujiuliza kwa nini wamekuzaa?Unaishi wapi?Una uhakika unazo akili zifanyazo kazi vema?Apia!
 
una stress wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…