Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?


Ukisema mpaka leo ina maana kutokea lini?
 
...Nyumba za Kupanga zinajengwa Kwa ajili Gani???....labda tuanzie Hapo, kwanza...!
 
Mbane mama yako akuoneshe baba Yako halisi kijana, una upungufu mkubwa wa maadali ,zungumza na mama yako taratiiibu atakuonesha baba yako
 
Bado kidogo utasema,

Mwanaume mzima, unaugua Hadi unalazwa!!

Ni kiburi Cha Uzima kinakusumbua.
 
Aiseee bongo mbona kila siku mapya yanaibuka.
Utashangaa mtoa content anaishi kwa shemeji aliyemuoa dada yake
 
Watu wanaishi nyna za kupanga kodi ya mwaka unaweza kujenga nyumba.
Maisha mipango kila mtu ana mipango yake.
Wengine wamejenga nyumba wakaweka wapangaji wao wanaishi nyumba za kupanga downtown.
Maisha hayana formula haya.
 
Hii sio inawezekana ila i know ndio ulivo kwasb kipimo cha maono ya mtuu ni uwezo wa kufikiri mambo

Cha kwanza una dhihirisha kabsa unatokea dunia ya tatu katika familia ya hali ya chini ambayo watoto wakiume wanawaza kujenga kuoa kuzaliana

Aliekukalirisha kua kujenga ndio Uwanaume ni nani? unajenga nn hio nyumba ulio nayo unaweza Post apa ukaisifia?

wenzio wana run big bussness huku wanaishi kwa kulipa rent ambayo kwa mwaka anajenga nyumba kama yako 10
sasa uyu unamuambiaje?

Kama mafanikio yako nikujenga sawa uko sawa kivyako usipangie watu kwasb mwingine ameaua kupanga na anaendesha gari yenye thaman zaid ya nyumba na vitu vya ndan kwako kwenye maisha ni ku chagua

Watu wenyew mambo mwng huwa hawaz nyumba ya kukaa labda ajenge kwajili ya bussness lkn sio kwa mawazo yako ndugu yangu hauko sawa kbsa😂

naona ujitathimin ukiwa ndan ya kibanda umiza😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…