Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
-
- #181
Na kijana Ambae anajitambua amepata malezi yenye maadili hawezi ruhusu binti wa mtu Tena mwanafunzi under 18 aje Aishi kinyumba kwake.angemuomba amsubiri afuate taratinu hata kumposaBinti ambae amefunzwa , ana hofu ya mungu, na heshima kwa wazi wakekatu hawezi kwenda kulala kwa mwanaume
Makosa ya wazazi wa mabinti wanapewa vijana wa kiume
Ndoa sio kufunganishwa tu, Kuna kuishi pamoja kama mke na mume. Mtaishije pamoja kama wanandoa ikiwa hakuna maelewano?Itungwe sheria mwanaume akikutwa na mwanamke wafungishwe ndoa ya lazima.
Mwanamke ambaye kishabaleh ana uwezo wa kuzaa.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Kwangu mimi nitakubali, siwezi kupoteza hela zaidi kusomesha jitu lisilojielewa.Unamhangaikia mtoto wako aje kuwa na career yake kama doctor au mwanasheria
Akiwa na miaka 14 form two anashawishiwa na mvuta bangi mmoja anafumaniwa nae..utakubali kumfungisha nae ndoa?
nyie wamama mnatikisa makalio live kwenye vigoma mabinti zenu mnawafundisha ushangingi mapema! Wanamiliki simu bado mnawaangalia tu baada ya mambo kufika juu ndio mnalialiaNa kijana Ambae anajitambua amepata malezi yenye maadili hawezi ruhusu binti wa mtu Tena mwanafunzi under 18 aje Aishi kinyumba kwake.angemuomba amsubiri afuate taratinu hata kumposa
Zaidi sana madhara ya kutembea na mtu bado anasoma
Unanitukana unajua?Awamu hii nimebashiri vibaya...
Kumfungia ghetto mtoto wa watuSasa hapo kosa la afisa usafirishaji ni nini?
Ni sahihi mkuu, inabidi ifanyike namna kukiokoa hiki kizazi. Mtu hasikilizi wazazi acha dunia ikamfundishe adabu.Ndoa sio kufunganishwa tu, Kuna kuishi pamoja kama mke na mume. Mtaishije pamoja kama wanandoa ikiwa hakuna maelewano
Unakuta wazazi wote wanafanyakazi hawana habari na watoto wao, vitoto vya sasahivi vinadekezwa sana.Hadi binti yako anafikia hatua ya kuwekwa ndani kuna uzembe mkubwa sana ulifanya mzazi ukiwasha moto mkali kwa vijana wanajua na huwa wanaambiana kabisa pale usigusee
Wengi ni tamaa ya fedha masharti ya kupata utajiriLicha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Sasa je! mimi namwona mtoto ana smarphone naomba namba vizuri tuUnakuta wazazi wote wanafanyakazi jawana habari na watoto wao, vitoto vya sasahivi vinadekezwa sana.
Nimeona kosa langu bibie na naomba unisamehe yaishe.Unanitukana unajua?
Yani mie nimeanza kulombwa nikiwa mdogo saaana...
Kweli mkuu?
😒😒😒
Wenzio wanasema wanawahi vitu freshNi upumbavu tu hakuna jibu jingine.
Wanadai wanawahi vitu freshNi upumbavu tu hakuna jibu jingine.
Wanawaseduce wenyewe?Shida mademu under 18 wamenona alafu shobo kibao haha alafu si ujue ni vitoto vya 2000 hatari na nusu
Mbele ya mungu mtu yeyote anaye fanya mambo kinyume na matakwa yake huyo ni mfuasi wa shetani bila kujali amefanya nini.Weeee ccm unawalinganisha na malaya wa ngono mzee! ccm ni zaidi ya shetani! kama ulitaka tungumze hapo ndio umeharibu aiseee
Mbona kama ni kumkatia tamaa?Kwangu mimi nitakubali, siwezi kupoteza hela zaidi kusomesha jitu lisilojielewa.
Ni wapuuzi tu hawana loloteWenzio wanasema wanawahi vitu fresh
Wanadai wanawahi vitu fresh