Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Mwanamke akishavunja ungo maana yake ana uwezo wa kushika ujauzito na ndio maana hata kidini hapo ni Ruksa kuolewa kwasababu ameshakomaa tayari
Dini żenu zinapwaya, tena unapojadili na mimi usinifanyie reference ya dini, Dini imemzungumzia mwanamke kwa uduni kuliko kitabu chochote.

Nasema dini imepwaya ni kwasababu unapumuona binti amevunja uongo kuna aspect ya muhimu ya akili yake/ukomavu wa akili unaweza kuwa bado, elites wenyewe wakampitisha tu kuwa anafaa kuolewa.

Waulize wanawake walioolewa/waliozaa wakiwa underage wakwambie walikuwa wanaelewa nini kuhusu nini, hata Autonomy tu walikuwa hawana.

Kuvunja ungo ni process tu ya kibayolojia ni sawa na mtu kuwa na mvi we should not assume amezeeka.

Unaweza kujitahidi kunielewa sio lazima ukubali.
 
Nakuuliza swali jepesi wewe ulianza ngono ukiwa na miaka mingapi?
 
Kawaida tu kuna mambo nilikuwa nayaelewa, na mengine siyaelewi.

Nachojua nilikuwa naweza kuconsent sex, naweza kusema hiki hapana hiki ndio.
Kumbe unajua wazi kuwa mwanadamu hatakuja kuelewa kila jambo hadi siku anaingia kaburini....ndio maana usishangae leo hii unajilaumu kwa matendo uliyowahi kuyafanya ikiwemo baadhi ya wanaume uliowahi kutoka nao
 
Usinilishe maneno, Hakuna kitu nilichofanya/ninachofanya ambacho sikukitaka.

Usitegemee binti wa miaka 9-13, akawa sawa kifikra na binti wa miaka 24 na kuendelea.
 
Sikulishi maneno, halafu sijasema kuwa yote uliyofanya haukutaka ila ninaamini kuwa Kuna maamuzi mengi mno kwenye mahusiano na hata kwenye mambo mengi tu uliyafanya kwa hiari yako ila baadae ukayajutia
 
Cha ajabu wanaume wanaojisifia kutembea na vitoto ndio hao hao wanalaani vile vitoto vilivyomaliza F4 mambo waliyokuwa wanaongea!
🤣🤣
Wakimaliza kukemea haohao ndio wanawafuata
 
Back
Top Bottom