AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,395
- 3,411
Cha ajabu wanaume wanaojisifia kutembea na vitoto ndio hao hao wanalaani vile vitoto vilivyomaliza F4 mambo waliyokuwa wanaongea!
Wanaopinga use.ngee ndio hao hao wako mstari wa mbele kushadadia matukio hayo kwa wale wanaotembea na wapenzi/wake zao wanapowafanyia mafumanizi.
Nchi hii sihamiiiiiii.... Nihame niende wapiiii!??